Wamarekani wauponda upinzani nchini tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamarekani wauponda upinzani nchini tanzania

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kipanga mlakuku, Jun 17, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari nilizozopata kisa cha Bi Clintoni kukataa kuonana naviongozi wa upinzani nchini hasa Chadema ni eti jinsi anavyofahamu hakuna upinzani wa kweli nchini isipokuwa waganga njaa....hapa namnukuu
  "..................
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bi Hillary Clinton na wamarekani wenzake hawapigi kura Tanzania. Frankly my dear we don't give a toss what non-voters say about CDM.
   
 3. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Sidhani kama hata kama angekutana nao kuna chochote cha maana ambacho angefanya. Ni naamini kuwa kaja kutetea masilahi ya nchi yake hivyo anachelea kuwakasilisha wenyeji wake.
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Sofia Simba ndo ana jibu ya hii kitu!!
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Walale mbele kule hawana jipya
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  While I respect the notion that outsiders should not wield an undue influence in Tanzanian politics - I blasted Kikwete for touting too much a supposedl endorsement from Obama last year for this very reason- I also realize that politics is much more than the bean counting of electocracy.

  Toconvince Tanzanians that CHADEMA can assume responsible leadership, it needs to show Tanzanians that it can be of influence at the international stage. I do not doubt that there are valid reasons to dismiss Secy. Clinton's alleged snob, but I find the above notion as not only unconvincingly lazy, but also dangerously introverted.

  How can you say with confidence that you don't care what no-voters think? Is this CHADEMA's position or your own? Does this mean CHADEMA does not/ should not care about the Tanzanian diaspora which does not vote not out of choice? What about the ill? Young? Illiterate and disgruntled?

  Does CHADEMA know anything about the importance of coalition building in politics? What is CHADEMA's foreign policy anyway? Does it reflect this nonsense of "we do not care about non-voters"? If you want to dis the US for valid reasons go ahead, but this "non-voters" argument has no basis.
   
 7. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa hawaendi mahala kama hakuna maslahi yao,ni watu hatari sana duniani,wakuogopwa kama ukoma,ulikwisha sikia wamekwenda libya kwa matembezi?wakienda ujue wanakwenda kupora mafuta,hivyo ujue hapa kuna kitu kinachowanufaisha sio bure,na sisi tunatakiwa kusimama kidete kuondoa huu ukoloni wanaouendekeza viongozi wetu,nchi yetu,maliasili tulionayo ni yetu lazima tujiamini katika hilo,na tuwakatae viongozi wanaowaendekeza na kutunyang'anya mali yetu kwa malipo kidogo kama wanavyo fanya GEITA,NYAMONGO na kwingineko
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Clinton lazima aogope wapinzani kuingia madarakani , kwakua fursa zao za kinyonyaji zitafika mwisho, mwenendo wa kusaini mikataba ya magungo kwa siri pale Ikulu itakua mwisho, na anajua fika hatari ilio mbele yao kwa maslahi yaO YA KIWENDA WAZIMU.
  NGUVU YA UMMA haiwezi kuzuiliwa na walevi wa madaraka , wanaodhani bila USA , wao hawawezi kutawala.
  nguvu ya umma Inakuja kukamata Taifa hili..............
  [​IMG]
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  ....kwa sababu ya Sheikh SYMBION bin DOWANS al RICHMOND
   
 10. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  this is not true.... she had a tight schedule and her trip was to deliver a specific message bhana na sio siasa.... ilmu duni weye mutu ya kula kuku
   
 11. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanawaogopa wanajua hawana mchezo
   
 12. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Kiranga, those were his personal views and by no means CHADEMA's... the mission in Tizii understand and respect the role of chadema even though there is some reservation on the depth of cdm core especially with guys like lema given quite a large platform and sphere

  hope things will change with a rampant recruitment of young and smart talents to mix well with the vigilant contingency that is already there, formal or informal
   
 13. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  hii ni cr@p ya karne, tell me you are still in your A level classes
   
 14. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Can you do a revision of what you have written??

  What is the point of Ms Clinton meeting opposition?
  Labda kama angekuja kusuluhisha migogoro au vita.. Hatuna vita wala mvutano wowote wa kupelekea mtu kama yeye akutane na upinzani. Inafact yeye hapigi kura..
  Amekuja kuonana na serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya kufanya mambo yao
   
 15. M

  Mkali wa Leo Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kikwete ni dhahabu isiyong'aara akipita tutamkumbuka kwa uvumilivu wake wa ajabu.
   
Loading...