Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,824
- 33,211
The BEAST begins to carry Biden’s blood samples as is the tradition.
Kwanini wanaita BEAST
The BEAST begins to carry Biden’s blood samples as is the tradition.
Ile gari,hilo ndo callname yake,sawa na helcopter ya rais wa marekani kuitwa marine one,au ndege kuitwa airforce oneKwanini wanaita BEAST
Nikajua labda ni kufupisho cha maneno fulaniIle gari,hilo ndo callname yake,sawa na helcopter ya rais wa marekani kuitwa marine one,au ndege kuitwa airforce one
👍👍Kumbuka marekani haitawaliwi na mmakonde Wala msukuma Ila inatawaliwa na katiba na institution zote zinaheshimu katiba. Hata ukimuua rais wa marekani leo, huwezi kuingia white house.
Sio Kama hapa TBCCM, POLICCM, jeshccm na mageccm. Na hata zimamoccm vinamhusudu rais kuliko kuheshimu katiba