Wamarekani Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa Ballot Paper? Yaani Rais ana CIA, FBI, Polisi na Jeshi lakini Rais anakaa Term 1

In Afrika you must use power to get power. Lakini kuna baadhi ya nchi Afrika zinaweza rejea Malawi,Zambia Nigeria na Ghana ni nchi za kuigwa.
 
Kumbuka marekani haitawaliwi na mmakonde Wala msukuma Ila inatawaliwa na katiba na institution zote zinaheshimu katiba. Hata ukimuua rais wa marekani leo, huwezi kuingia white house.

Sio Kama hapa TBCCM, POLICCM, jeshccm na mageccm. Na hata zimamoccm vinamhusudu rais kuliko kuheshimu katiba
👍👍
 
Katiba bora yenye checks and balances madhubuti. Rais hawezi kuingilia kila taasisi anavyojisikia
 
Back
Top Bottom