Wamarekani Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa Ballot Paper? Yaani Rais ana CIA, FBI, Polisi na Jeshi lakini Rais anakaa Term 1

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659

Wamarekani huenda ni wachawi.
Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa BallotPaper?

Hawajui "kuvishika vyombo vya dola ili kubaki madarakani" waje kwa Bashiru wajifunze kitu gani cha kujisifu kuwa uwe na dola alafu ushindwe kubaki madarakani.

Je, Wanatakiwa kuja kwenye vi-nchi vyetu hivi "kujifunza"! Au vinchi vya afrika wamepotea?

Yaani rais ana
NASA,Homeland,CIA,FBI,POLISI,JESHI na bado anakaa TERM 1 ...inawezekanaje? (Ref kwa Bashiru)

Je Ulaya wana strongly institutions na africa tuna strong people.

Nadhani hili jambo litamuongezea zaidi mshangao bwana Bashiru!! Phd inayoamini matumizi ya nguvu katika kupora mamlaka.

Wamarekani huenda ni wachawi.
Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa BallotPaper?

Hawajui "kuvishika vyombo vya dola ili kubaki madarakani" waje kwa Bashiru wajifunze kitu gani cha kujisifu kuwa uwe na dola alafu ushindwe kubaki madarakani.

Je Wanatakiwa kuja kwenye vi-nchi vyetu hivi "kujifunza"! Au vinchi vya afrika wamepotea?

Yaani rais ana
NASA,Homeland,CIA,FBI,POLISI,JESHI na bado anakaa TERM 1 ...inawezekanaje? (Ref kwa Bashiru)

Je Ulaya wana strongly institutions na africa tuna strong people.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku si mnaushamba na ulimbukeni wa madaraka! Kule viongozi wanaomba lizaa ya kuongoza ili kuitendea nchi na si huku nchi ikutendee wewe! Vyombo vyao vinamisimamo haviyumbishwi tena inakuwa Kama ufahari kuitendea nchi yako mema.. angalia hata kwenye kampeni zao bendera za nchi ndo zimetawala! Njoo huku sasa kwenye mkutano unaweza kosa hata bendera ya nchi ni vyama tu! Wao wapo kwaajili ya nchi yao
 
SIsi waafrika sio binadamu ingawaje tumefanana zaidi na binadamu wa ukweli kwa asilimia 99, tatizo letu kubwa ni ustaarabu by meam ili uwe binaadamu kamili ni lazima uwe na ustaarabu kamili uoni angavu utu kuona na wengine pia wanastahili kama mimi ninavyostahili sisi waafrika by nature ni viumbe duni na tumejaa uchoyo ubinafsi na kwa dhambi hizi huwa hatuna miendo mirefu kwani hata maisha yetu huwa ni mafupi mno due to GREEDY
 
Kumbuka marekani haitawaliwi na mmakonde Wala msukuma Ila inatawaliwa na katiba na institution zote zinaheshimu katiba. Hata ukimuua rais wa marekani leo, huwezi kuingia white house.

Sio Kama hapa TBCCM, POLICCM, jeshccm na mageccm. Na hata zimamoccm vinamhusudu rais kuliko kuheshimu katiba
 
asante sana
 
Waafrika mara huitwa manyani kutokana na kutoheshimu katiba zao na ukigeu geu wao na ving'ang'azi Sana wanapo pewa vyeo
 
Wamarekani huenda ni wachawi.
Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa BallotPaper?

Hawajui "kuvishika vyombo vya dola ili kubaki madarakani" waje kwa Bashiru wajifunze kitu gani cha kujisifu kuwa uwe na dola alafu ushindwe kubaki madarakani.

Je Wanatakiwa kuja kwenye vi-nchi vyetu hivi "kujifunza"! Au vinchi vya afrika wamepotea?

Yaani rais ana
NASA,Homeland,CIA,FBI,POLISI,JESHI na bado anakaa TERM 1 ...inawezekanaje? (Ref kwa Bashiru)

Je Ulaya wana strongly institutions na africa tuna strong people.

Rais wa Marekani hahusiki na chochote kuhusu polisi.
 
Huku si mnaushamba na ulimbukeni wa madaraka! Kule viongozi wanaomba lizaa ya kuongoza ili kuitendea nchi na si huku nchi ikutendee wewe! Vyombo vyao vinamisimamo haviyumbishwi tena inakuwa Kama ufahari kuitendea nchi yako mema.. angalia hata kwenye kampeni zao bendera za nchi ndo zimetawala! Njoo huku sasa kwenye mkutano unaweza kosa hata bendera ya nchi ni vyama tu! Wao wapo kwaajili ya nchi yao
Aisee Tanganyika
 
Hata bongo inawezekana tatizo hakuna wanasiasa makini

Hivi kweli tuwakabidhi nchi akina Lisu , Mbowe na Mnyika? Haiwezekani
 
Waafrika hawaheshimu katiba walioandaa wenyewe.
M7 ameichezea Kama nguo ya mchepuko wake ya ndani.
Marekani imepata Marais 7 Uganda Yuko Museveni tu, jamani hachoki kuongoza?
 
Back
Top Bottom