Hapana mkuu iko hivi nchi za huko india na bara la asia matibabu yake ni bei rahisi sana, mfano operation ya milioni 3 india kwa marekani au ujerumani utakuta labda ni milioni 17 kwa wageni.Gharama za mahoteli na maisha zipo juu pia, kwahyo huko unakojua wewe ambako wengi wanaenda kutibiwa moyo wengi ni nchi masikini hasa za kiafrika .Maana sijawahi kuwasikia kwenye hizi makitu.
Au huenda kwa akina Panjuani?