Wamarekani, tunauza nchi na kuipeleka kwenye vita, machafuko, untold misteries, etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamarekani, tunauza nchi na kuipeleka kwenye vita, machafuko, untold misteries, etc

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Jun 8, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Natoa rai Kwa Kikwete kuwa utaitumbukiza nchi yetu kwenye majanga. Wamarekani sio watu, ni wauaji. Hakuna mahali walipokwenda waamerika pakawa na ustawi. Ni fathers of exploitation of human being and history confirms that.
  TUSIWAKARIBISHE WAAMERIKA, TUKAE NAO MBALI, SIO KUJA KUINGIA JIKONI. AFADHALI SANA WACHINA
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Wachina = North korea,Burma
  Wamarekani = South Korea,Japan
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wamarekani = Iraqi, Afghanistan
   
 4. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata ufanyeje, you can't escape Americans!! Kama wakiamua kumtoa kikwete wanamtoa tu!
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Wachina=Pakistan=Afghanistan
  Wachina=North korea(taedong missiles,nuclear)=Iran=Iraq(shia).

  Thats just the money making game,eerbody is dirty son!
   
 6. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kwa mzalendo ni vizuri kutambua kwamba maendeleo ya nchi hayataletwa na "wageni" Iwe Wafaransa au Wanigeria. Wamerekani, Wachina , Waarabu n.k wanakuja kwetu na ajenda ya kwao, iwe ni kutafuta malighafi, mafuta au madini ambayo ni ustawi wa nchi na watu wao. Kuanza kufikiria "mgeni" gani ni bora kuliko mwingine ni kupoteza mwelekeo. La msingi ni kushirikiana nao kwa kuzingatia maslahi ya nchi yetu na watu wake na kuondoa "Umangungu" wa kutoa nchi bia kujua. NOTE: Wamerekani wamesaidia kwa kiasi kikubwa katika upatikanaji bure wa dawa zinazoongeza urefu wa maisha ya waishiio na virusi vya HIV na ALU zinazotumika kutibu malaria.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wamarekani ni sawa na jini akikupenda leo kesho ana kunyonya damu.
  Tumesha wakaribisha kigamboni tusubiri damu za watoto wetu kunyonywa.
  Historia ya ******.
   
 8. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
   
 9. m

  mdawa Senior Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani aliyeanzisha mada is just not analytical. He is anti-US for reasons of ignorance or ideological and religious fanaticism. Siyo kweli kwamba kila mahali US walipoingia kumeharibika. Iraq, Afriganistan na mifano yake ni nchi ambazo zimeharibika zinazohitaji kuwekwa sawa ziwe prosperous na siyo vichaka vya terrorism. Watawala wa Iran walimwondoa mfalme lakini sasa ni wafalme kupitia mgongo wa dini. Mara nyingi hakuna habari njema kutoka Iran zaidi ya ukandamizaji na kushindana na Israel na America. Nadhani time will tell when the repressive regime there collapses and people get back their freedom.
  Nchi ally wa America zimestawi na ni democratic mfano Japan, South Korea, United Arab Emirates, Israel, West Europe, Malaysia etc.
  Tusione aibu kuwa karibu na nchi zilizostaarabika.
   
 10. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa wakala wa Wamarekani. Hawa jamaa hawana urafiki bali utafutaji wa malighafi kwa ajili ya uchumi wao. Najua walishatuingiza mkenge kwa ujinga wa watu fulani, ila hii dhambi itawatafuna na wao. Ninasikitika sana jini Marekani sas limeshaingia Tanzania.
   
 11. C

  Chief JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wamarekani - Taiwan
   
 12. T

  Tom JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzalendo nchi maskini kama TZ vema akajifunza namna ya kutumia wageni kwa maendeleo ya nchi yake - akiwatumia wageni vizuri unakua umeleta maendeleo kwa haraka na si wageni walioleta, sasa hapo hapo ukiwatumia vibaya unakua umeuza nchi. Sasa kuna namna nyingi ya kuwatumia wageni kwa maana wengine hawatataka ushirika lakini wapo tayari kujiuza nk.
  Hata 'wheel' wataka tugundue wenyewe? Kama hatuna akili ya kuwatumia hao wageni kwa faida yetu basi utasema 'ndio'. Si kweli kua AIRBUS wangependa kushirikiana na WACHINA kujenga viwanda TIANJIN lakini wanalazimika ILI WASIFE, sasa kwa kua WACHINA wana akili nzuri wanahakikisha wanafaidika na hivyo viwanda na kujipatia ujuzi pia.
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeelewa your point of view,
  Ila haitowezekana taifa lenye nguvu na technology lipangiwe na taifa lisilo na nguvu wala technology.
  Bush ametoa hela za walipa kodi wake ili masponsor wake ambao ni corporations wapate tenda,matokeo yake ni $700m kwa tanzania na wametuambia tuzitumiaje kiaina,
  Kama hutaki poa!...marekani wana dhahabu nyingi mno mara kumi au zaidi ya Tanzania kwenye ardhi yao,mafuta,coal,gas etc.
  Imperialism sifagilii ila in the name of free trade,any government is a fair game.Kama hutaki anza.
  Na pia hii notion ya Tanzania kuwa nchi ya kijamaa ni uongo,marekani ni wajamaa kuliko Tanzania na kuliko china.
  Anaebisha tunaweza kudiscuss.....I prefer numbers not blah blah!
   
 14. T

  Tom JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mmewakaribisha Kigamboni bila kuwaambia bayana mnataka nini toka kwao sasa si kosa lao. Hawajaichukua Kigamboni kwa kuwapigeni mabomu bali kwa mazungumzo, kama hamjui kuzungumza ilibidi kwanza kujifunza namna ya kufanya mazungumzo.

  Nijuavyo mimi TZ isiruhusiwe mtu mmoja mmoja kama Waziri nk kua na uamuzi wa mwisho - kila kitu kiamriwe kwa vikao na mikataba isainiwe mbele ya hivyo vikao. Kuwe na vikao vya waTZ pekee kabla kabla na kila baada ya vikao na hao wageni mpaka mkataba unaposainiwa na bila kua na haraka ya muda. Waziri awe kama M/kiti tu wa kikao. Labda tukifanya hivi mikataba itakuletea matumaini kuliko ilivyo sasa ambapo huna imani na chochote.
   
 15. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wamarekani wazuri mno kuliko wachina, wairan,wapakistan, wahindi, na nchi zote za kiarabu. Gadafi alimuunga mkono Amini (1978/79) kwa kuwa Amini alikuwa Islam na memba wa IOC. Bora mmrekani kuliko wanafiki hao wote.
  Karamagi alikuwa mwelevu kusaini kuuza mgodi wetu. Alijua nchi hii mtu mmoja anaweza kutufanya wote wakatoliki, waislam, wahindu kwa kuwa hakuna maamuzi ya vikao vyenye watu wenye akili vichwani na SIO kama wabunge wa CCM ambao wote huwaza kwa matumbo yao.
   
Loading...