Wamarekani ni noma wakijua wewe ni mwarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamarekani ni noma wakijua wewe ni mwarabu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kaburunye, Sep 7, 2010.

 1. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  A man is taking a walk in Central park in New York .
  Suddenly he sees a little girl being attacked by a pit bull
  dog. He runs over and starts fighting with the dog. He
  succeeds in killing the dog and saving the girl's life.

  A policeman who was watching the scene walks over and
  says: "You are a hero, tomorrow you can read it in all
  the newspapers: "Brave New Yorker saves the life of
  little girl" The man says: - "But I am not a New Yorker!"
  >
  "Oh, then it will say in newspapers in the morning:
  'Brave American saves life of little girl'" the
  policeman answers. "But I am not an American!"
  says the man. "Oh, what are you then?" The man
  says: - "I am a Saudi!"
  The next day the newspaper says: "Islamic
  extremist kills innocent American dog".

   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,375
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Chapa miarabu hiyo iende ikafie huko isituletee shida hapa duniani.......
   
 3. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Miarabu siyo! Una roho mbaya kama mafisadi ya Tz!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jile kumbuka nao pia watu na wameumbwa kwa sura na mfano wa Mola
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,375
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Kwao waislamu mola hafanani wala.....sasa huwezi kusema wameumbwa kwa mfano wa mola...labda kwa mfano wa allah........wale walioumbwa kwa mfano wa mungu wa kweli wanahubiri amani kwa vitendo........hao waarabu jamani hawafai..........itikadi kali na uasi na kuijtoa muhanga hatutaki ktk dunia hii labda wahamie sayari nyingine..

   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  waarabu wamebadilika sana now days ndio maana utakuta bia zinauzwa kama karanga kuanzia Dubai hadi Saudia, tatizo ni hawa wanaoiga kama al shabab na wenzake MS na Tumain, hawajui wanachokiiga leo kama vile kupiga watu mawe na kujitoa muhanga kwenye mabomu. waarabu wa kweli washaacha kitambo mambo hayo wanakula starehe na kuinua uchumi wa Nchi zao.
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Akome nae kujipendekeza.
  Sifa zote alizopata aliona hazimstahili, wacha tu aitwe gaidi
   
 8. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ila wale mababa wa ulaya waendelee kuwabaka vijana mahekaluni tumkuelewa Mkuu
   
Loading...