Wamama wenye watoto mnakera kwenye daladala

Wamama wenye watoto wanakera sana. Wanagombania daladala na kuwahi dirishan. Cha ajabu dirisha wanafunga, ukimwambia fungua anakuambia upepo utamuathiri mtoto. Kwann ukae dirishan wakati una mtoto? Kila abiria ana maradhi yake, upepo muhimu.
Mnakera sana.
Aisee wewe ndio unaye kera. Hao wanagombania kwa sababu hakuna nafasi ya kutosha. Ni vyema sote tukafikiria watoto badala ya kuwa wabinafsi. Joto kwako lina madhara gani na upepo kwa mtoto una madhara Yapi?
 
Wamama wenye watoto wanakera sana. Wanagombania daladala na kuwahi dirishan. Cha ajabu dirisha wanafunga, ukimwambia fungua anakuambia upepo utamuathiri mtoto. Kwann ukae dirishan wakati una mtoto? Kila abiria ana maradhi yake, upepo muhimu.
Mnakera sana.
Sasa hujakutana na wale wanaotoa titi public kunyonyesha. ... Bhanaa wanakera..si hata ajifunike
 
Wamama wenye watoto wanakera sana. Wanagombania daladala na kuwahi dirishan. Cha ajabu dirisha wanafunga, ukimwambia fungua anakuambia upepo utamuathiri mtoto. Kwann ukae dirishan wakati una mtoto? Kila abiria ana maradhi yake, upepo muhimu.
Mnakera sana.
Nunu gari lako
 
Kama unakereka wahi siti ya mbele karibu na driver hautosumbuka na kero joh
 
Afrika ndo iko namna hiyo kuna ujamaa huku ni jcho za kijamaa ambazo
- Mtu anatoka nyumbani akijua kabisa anawatoto watatu na hajui atawaweka wapi kwenye basi ila anang'ang'ania wewe ambae umewaacha watoto nyumbani kwa kujua huwezi kumudu kuwabeba uwabebe wakwakwe.
- ni huku tu mtu anaona basi imejaa na anapanda kisha analalamika kwanini vijana hawamuachii siti huyu kijana kuna gari aliona imejaa akaiacha akapanda yenye siti ili akae hata kama kachelewa wewe unamsimamisha alikataa eti anatabia mbaya.
Wengi wa watu hawajui kwamba nchi yetu ishakua ya kibepari hii kila mtu anabeba msalaba wake kama unahisi unawatoto jitahidi uone namna ya kufanya usimsumbue mtu mwingine
 
Back
Top Bottom