Wamama wenye watoto wanakera sana.
Wanagombania daladala na kuwahi dirishani. Cha ajabu dirisha wanafunga, ukimwambia fungua anakuambia upepo utamuathiri mtoto. Kwanini ukae dirishani wakati una mtoto? Kila abiria ana maradhi yake, upepo muhimu.
Mnakera sana.