Wamakonde na wahaya wakali ktk mambo yetu yalee nani zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamakonde na wahaya wakali ktk mambo yetu yalee nani zaidi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by upele, Jun 16, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAANA KUNA JAMAA ALIKUWA ANAPITA KUPIGA FIMBO MAKABILA MBALIMBALI ILA ALIPO FIKA UMAKONDENI ALISHINDWA KUITA "MVUA "KWA DOZI KALI JE HAO HAKINA KOKUBANZA WANA YEPI MBONA HAKUNA KITU
  NIJUZENI JAMANANI MAANA JAMAA ALIKOMA HUKU KWA WALE JAMAA WANAOSHINDWA KUITA MELI NA KUITA NYELI
  cONQUEST-SAMAKI ARUDI REVERSE
   
 2. senator

  senator JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Inaonekana kweli unakipele na kinawasha, na unahitaji mkunaji! Nenda kwenda kwenye Mahusiano na Mapenzi wapo na Wakunaji kutoka Mombasa
   
 3. upele

  upele JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mchaga nini maaana wamupo kabisa katika ulimwengu wa mahaba kazi ya kula ndizi na mbege jiheshimu jf sio mahali pa matusi nakuheshimu na weye jiheshimu kama unataka mabo hayo sema tuna degree ya matusi
  Conquest-nitakutumia popobawa sasa hivi :embarrassed:
   
 4. m

  mkerewe New Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rutashobya nakuaminia umesoma sana ila dada zenu wanawadhalilisha kwa kukataa
  kufanya kazi halali na kuendekeza uchangudoa.Kama vipi wapeni mitaji wafanye biashara
  za kueleka.Kuna demu mhaya jirani namzimia kwa namna anavyosaka mkwanja kihalali
  sio kama wenzake wa buguruni,manzese wanat....
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tususbiri wazoefu watatueleza nani zaidi.
   
 6. jnrs

  jnrs JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2014
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila kabila lina machangudoa tena wa kutupwa,achaneni na dhana za kukariri. Kuuza miili ilikuwa zamani na biashara hiyo haina mwenyewe kwa sasa. Wahaya ni watani zangu na sipendi kusikia mnatumia historia kuwadhalilisha. Naomba tujaribu kuheshimiana na pia kuishi kwa amani. Maisha yenyewe yako wapi?
  MPITA NJIA,KARIBUNI TARIME. [​IMG]
   
 7. Fareal

  Fareal JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2014
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 831
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mi ndo mana nasemaga cna kabila,.,,mana kila kabila halkoc mapungufu yake.,
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2014
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,180
  Trophy Points: 280
  Kwani wakerewe wanagawa bure.
   
Loading...