Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,402
- 4,064
Hatimae WAMACHINGA wameanza tena KUREJEA katika Maeneo WALIYOFUKUZWA licha ya AGIZO la RAIS Samia kuwaagiza WAKUU wa MIKOA kuwapanga UPYA ktk Maeneo RASMI
Je, hii hali inatafsiri nini kwa Wakuu wa Mikoa?
JE, WAMESHINDWA KAZI?
=====
Ikiwa imepita miezi minane tangu Serikali iwaamuru wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) wahame katika maeneo yasiyo rasmi, wameanza kurejea huku wakibadili mbinu za ufanyaji biashara.
Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan aliwaagiza wakuu wa mikoa nchini kuwapanga wamachinga katika maeneo stahiki bila kusababisha vurugu.
Licha ya ugumu kuwaondoa wafanyabiashara katika maeneo hayo, hatimaye baadhi ya wakuu wa mikoa wakiwatumia mgambo wa halmashauri za wilaya, manjispaa na majiji walifanikiwa kuwaondoa.
Warejea
Baada ya kuondolewa kwa wafanyabiashara hao, baadhi yao walibuni mtindo mpya wa kurejea kwenye maeneo yao nyakati za jioni, wakati ambao mgambo hawapo, huku wengine wakirejea polepole maeneo ya katikati ya majiji.
Mwananchi limetembelea maeneo walikorejea wafanyabiashara na kuzungumza nao.
Ramadhani Kassim, anayefanya biashara eneo la Mnazi Mmoja alisema, baada ya Serikali kuwahamishia kwenye soko la Kisutu na Machinga Complex, aliamua kurudi kutokana na biashara anayoifanya.
“Ni kweli Serikali ilituondoa hapa kituoni, lakini mimi biashara yangu nategemea abiria na wapitanjia, ninachofanya bidhaa zangu nimezificha sehemu, ninapomuona mtu anaulizia naenda kumbchukulia,” alisema Kassim.
Naye Janet Ishengoma alisema anafanya biashara ya kuuza chakula kwa kuibaiba, kwani mgambo wamekuwa wakiwakamata na kuwanyang’anya na kuvipeleka