Wamachinga waomba walipishwe elfu 50 ya kitambulisho ili wasiondolewe mjini

Viongozi mbalimbali wa machinga katika jiji la Dares Salaam wameiomba serikali iwapandishie kodi ya kitambulisho kutoka elfu 20 hadi elfu 50 kwa mwaka ili tu wasifukuzwe mjini na waachwe waendelee na biashara zao kwani kuwatoa mjini ni kuwafanya waishi maisha magumu sana.
Kwa hiyo 50,000/= ingefanya chupa za mikojo na zile ajali za barabarani zingeondoka???
 
Back
Top Bottom