Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

Waacheni wafanye kaz ndio maana. Wanavifurahia vitambulisho vya mjasiliamali maana vimewawezesha oufanya kaz zao bila bugdha
Wao hawana bugdha vipi wewe ukiwa unapita katika miji hiyo mikubwa unawachukuliaje
 
Kuna faida gani katika kuwaondoa? Umefikiria juu ya athari zake pia?
 
Wasiondolewe maana wanatafuta pesa, Ila mamlaka zihakikishe vibanda vinabana pembeni na kuachia nafasi ya kutosha kwa wapita njia. Nimewahi kukoswa na kushuhidia watu wakikoswa na magari kwa sababu ya ufinyu wa nafasi ya kupita pale ubongo- river side, wakati ukiangalia vibanda vimechukua eneo kubwa zaidi

Otherwise wale jamaa wasiondolewe , wengine Wana group kubwa la watu linalowategemea.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kuna faida gani katika kuwaondoa? Umefikiria juu ya athari zake pia?
Kila halmashauri Ina maeneo husika kwa ajili ya watu Kama hao na njia nyingine ya kuwapunguza ni kuwaunganisha na waunganishe mitaji wale wenye Biashara inayofanana au hata kuwadevelop kwenye channel nyingine ya kuwekeza kile walichonacho
 
Wakifukuzwa kutatokea wimbi kubwa sana la wizi na majambazi, kuna watu pasipo hizo biashara familia zao zitakula police!!
 
Utaratibu wa barabara, kuna sehemu ya kupita magari na sehemu ya waenda kwa miguu.
Machinga wamevamia kuanzia sehemu ya waenda kwa miguu hadi barabarani. Na kupelekea watu kupishana na magari sehemu finyu sana, tuache siasa, hili suala ni hatari sana kwa maisha ya watumuao barabara na machinga wenyewe. Siku gari iki fail brake sipati picha nini kitatokea
 
Ni hatari inayoepukika kabisa mie naona machinga wapewe elimu ya umuhimu wa kuwa na nguvu kipesa Yan waunganishe mitaji instead of having Tsh.100 kwa watu 20 Bora kuunganishwa Hawa 20 na watakuwa na purchasing power na kupunguza cost zingine ambazo zitakuwa n jumuishi nahuo ndo utakuwa mwanzo Bora wa kutengeneza mamilionea Kuna kampuni Kama Coca-Cola PepsiCo Nestlè Uniliver Bidco bakhresa METL infotech group zote hizi n group of companies Yan nguvu yao yakipesa hutokana na kuunganishwa kwa kampuni ndogondogo wanazozimiliki moja kwa moja au kupitia kwa au sehemu ya asilimia kiasi
 
Hata sokoni kwa baadhi ya maeneo, sehemu ya wapita njia sokoni ndani ndani kuna bidhaa zinatundikwa chini yaani kupishana na watu ni kazi kweli kweli!
 
Ni hatari inayoepukika kabisa mie naona machinga wapewe elimu ya umuhimu wa kuwa na nguvu kipesa Yan waunganishe mitaji instead of having Tsh.100 kwa watu 20 Bora kuunganishwa Hawa 20 na watakuwa na purchasing power na kupunguza cost zingine ambazo zitakuwa n jumuishi nahuo ndo utakuwa mwanzo Bora wa kutengeneza mamilionea Kuna kampuni Kama Coca-Cola PepsiCo Nestlè Uniliver Bidco bakhresa METL infotech group zote hizi n group of companies Yan nguvu yao yakipesa hutokana na kuunganishwa kwa kampuni ndogondogo wanazozimiliki moja kwa moja au kupitia kwa au sehemu ya asilimia kiasi

Wazo la kufanyiwa kazi sana hilo mkuu , wamachinga wamekwama
wanahitaji kuratibiwa waingie mfumo bora rasmi hasa wa viwanda kwani inawezekana , na wa kusaidia ni sisi .
 
Waondolewe mara moja....ni chanzo cha miji kuwa michafu....kwakifupi wamachinga ndio wachafuzi wa mazingira
Dah nakumbuka dart bus za mwendo kasi wakati wanajenga barabara pembeni waliweka mitaro mikubwa kishenzi ilikuwa misafiii,sasa hivi kumejaa ma lailoni kibao chinga wakifungua mzigo laiolon na mabox wanatia kwenye mitaro.
 
Posta hiyo karibu na ikulu
IMG20201114114714.jpeg
 
Waondolewe mara moja....ni chanzo cha miji kuwa michafu....kwakifupi wamachinga ndio wachafuzi wa mazingira
Wale walioweka biashara zao juu ya mifereji ya maji na kusababisha kuziba kwa mifereji hiyo, waondolewe. Haina maana serikali kujenga miundombinu ya kupunguza mafuriko halafu machinga wajenge juu yake. Sehemu nyingine waache wafannye biashara ila sio juu ya mitaro.
 
Wapiga Kura Wangu Waachwe
Ukiwa Na Kitambulisho Utafanya Biashara Popote Tanzania
 
Tandka yotee hkuna sehemu ya kupita wat waendao kwa miguu, mbagala ragi tutu stand hazionekan kabsa
 
Wazo la kufanyiwa kazi sana hilo mkuu , wamachinga wamekwama
wanahitaji kuratibiwa waingie mfumo bora rasmi hasa wa viwanda kwani inawezekana , na wa kusaidia ni sisi .
Ule mwendo wa viwanda ungeenda sambamba na kuunganishwa kwa mitaji kwa wajasiriamali wadogo wadogo mfano kuliko kwenda kariakoo wakanunue mzigo kwa wholesaler n Bora wanajichanga hao kadhaa na wanaagiza kwa mzalishaji sababu mzigo utakuwa mkubwa lazima wawe na sehemu ya uhakika ya kufanyia Biashara na kuhifadhi mzigo
 
Back
Top Bottom