Wamachinga waandamana + CUF kupinga Dowans-Videos (ITV)

Ipo siku hata hao askari polisi na FFU wanaotumwa kwenda "kutuliza na kuzuia ghasia" aidha watakaa pembeni au watajiunga na waandamanaji. Nchi hii ni yetu sote na ni vyema tukaungana kwenye kudai haki za wote.
 
Back
Top Bottom