Wamachinga wa mtaa wa Makoroboi wajiandaa kumlaghai RC Mwanza=

mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
932
275
Katika vita ya biashara ya siku nyingi kati ya wamachinga na wenye maduka katika mtaa wa makoroboi mkoani mwanza.Wamachinga Wamepanga kutengeneza madawati na kumkabidhi mkuu wa mkoa ilikujitengenezea wigo wa kutoondolewa katika mtaa huo!

Kumekuwa na kutoelewana kati ya wenye maduka ambao hulipa kodi tra kupitia tin zao! na wamachinga hao ambao wanauza bidhaa zinazo fanana na zilizoko madukani bila kuwa TIN hivyo ulipaji wa kodi kwao haupo

Tunasikitika Mbunge wetu wa Nyamagana mh.Stanslaus Analifahamu vema sakata hili lakini yuko kimya mpaka sasa namsihi Rc wetu Mongela madawati hayo apokee lakini ajue huo ni mtego, kwa sababu wamachinga hao hawana uhalali wa kuwa hapo!
 
Back
Top Bottom