Walutheri wamgongomelea msumari wa mwsho bwana ngoyai

navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,491
1,500
WALUTHERI WAPIGILIA MSUMARI KWA LOWASA

Kufuatia kikao cha viongozi wa kanisa la Kilutheri Tanzania kukutana mjini Arusha kujadili mwenendo wa siasa na amani kwa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi, viongozi hao wamepinga vikali mtindo wa wagombea urais kutumia nyumba za ibada kama sehemu ya kampeni zao.Wamesema mtu hatachaguliwa kwa kuangalia dhehebu analotoka bali uadilifu wake na maadili kwa watanzania ndivyo vitakavyomsaidia kuweza kuchaguliwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom