Walutheli wawafuata waanglikana!

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Walutheri waruhusu ndoa za mashoga

na Mwandishi Wetu, STOCKHOLM, Sweden

KANISA la Kiinjili la Kilutheri lenye waumini wengi zaidi nchini hapa, limekubali kubariki ndoa za watu wa jinsia moja.
Sweden, imekuwa ni nchi ya kwanza duniani kuruhusu mashoga kuoana ndani ya kanisa hilo kubwa duniani.
Hatua ya kanisa hilo imekuja ikiwa ni miezi mitano tu baada ya serikali ya hapa kulifanya suala la watu wa jinsia moja kuoana kuwa la kisheria. Karibu asilimia 70 ya wakuu 250 wa kanisa hilo, walipiga kura kuunga mkono kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana ndani ya Kanisa la Kilutheri.
 
Mkuu una hakika na ishu hii?
Mbona ni balaa hili tena?
KUMEGUNDULIWA NINI KATIKA USHOGA?
Kwa nini wanakuwa na nguvu ya namna hii hawa Bazazi?
 
Mimi ndio maana wakati mwingine huwa naamua kunywa bia zangu na kulala tu! Kwenda kanisani inakuwa kama vile kwenda kupoteza muda tu! Inakatisha tamaa sana!
 
Lahaula!! This is too much now!!
 
Karibu asilimia 70 ya wakuu 250 wa kanisa hilo, walipiga kura kuunga mkono kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana ndani ya Kanisa la Kilutheri.
Naimani Baba Mwalasusa atalitolea tamko hili!!
 
Mimi ndio maana wakati mwingine huwa naamua kunywa bia zangu na kulala tu! Kwenda kanisani inakuwa kama vile kwenda kupoteza muda tu! Inakatisha tamaa sana!

Ujinga wao usikuzuie wewe kushika IMANI yako.
 
Masaki anaona hata kwenda kanisani haina maana, ebu angalia hata wao idadi inazidi kupungua, soma sehemu ya taharifa hiyo hapa chini.

Nchini hapa, kati ya watu wanne, watatu kati yao ni waamini wa dhehebu la Kilutheri. Kwa maana hiyo, robo tatu ya raia wa nchini hapa ni waumini wa dhehebu hilo, japo idadi ya wanaohudhuria ibada imepungua sana.
Kanisa la Kilutheri nchini hapa, ambalo lilikuwa likiongoza nchi hadi mwaka 2000, linaungana na Bunge ambalo lilipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, ambako utekelezaji wa sheria hiyo ulianza rasmi Mei 1, mwaka huu.
 
Mh!!
 
Mimi ndio maana wakati mwingine huwa naamua kunywa bia zangu na kulala tu! Kwenda kanisani inakuwa kama vile kwenda kupoteza muda tu! Inakatisha tamaa sana!

Bora wewe umesema, maana watu wanaenda Kanisani siku hizi kila mtu na malengo yake si ya kiimani. Masaki naomba tuanzishe kanisa letu la Ulabu, wasituletee mashoga sisi.
 
Martin Luther akifufuka leo...eti akaambiwa hawa ndio wafuasi wako.......atapata stroke na kufa tena hapo hapo.............

ni wakati sasa muafaka haya madhehebu ya dini kuwa makini sana na nyakati hizi mbaya za kilimwengu..........kote kote si kwa Wa-Islam, Wahindu mpaka kwa Wakristo......hizi dini zimeingiliwa sana na wafanyabiashara na wanasiasa............
 
Mkuu una hakika na ishu hii?
Mbona ni balaa hili tena?
KUMEGUNDULIWA NINI KATIKA USHOGA?
Kwa nini wanakuwa na nguvu ya namna hii hawa Bazazi?

Hii mbona tangu mwaka jana? tatizo la wasedish kwao kila mtu ni equal, mtoto na baba wote wako sawa, mama na baba wote wako sawa,mwanamume na mwanamke wote wako sawa na wanahaki sawa, mwalimu na mwanafunzi wote wako sawa,hili lilichelewa saana nachok´jiuliza Ni Mungu Yupi hawa watu wanamwabudu na kumhubiri?
 
1 John 2:6 (New International Version)

6Whoever claims to live in him must walk as Jesus did.
NB:
*Not as your church says!

*Do not measure your salvation with what others do, think, or say!
*I really wish we as Christians will be like Paul and tell others, "Imitate me as I imitate Christ." But since that is not so in these current days and times, it should not be the reason for you and me to stop/deny our salvation. These are the last days brethren, let us stand firm regardless..
*If you think drinking on a Sabbath will solve the situation, what gospel are you preaching?Doing the opposite of what you believe; doesn't that encourage those who have already fallen? Think brother...
May God help us through the power of His Holy Spirit!
Amen.
 
mi siku zote siziamini hizi dini za kizungu kwa sababu eti nazo zinakwenda na wakati kwa kukiuka misingi ya imani yao, makanisa yote ni mihimili ya shetani toka enzi yaliposhabikia UTUMWA mbaka sasa wanashabikia USHOGA
 
Sasa wewe upo dini gani!??
 
Its the future.. inevitable.. I dont like chichi mans but they have rights too..lol
 
Thank you...mambo mengi yamekuja na mengine yamepita na mengine bado tunayo...msione hatari jamani haya nayo ni mabadiliko.

Ni afadhali ushiga ufanyike hadharani kuliko kufanyika kwa siri...it's about time.

Tuache kuwa kama wale wanaopenda Pepo lakini wanaogopa Kufa.
 
mi siku zote siziamini hizi dini za kizungu kwa sababu eti nazo zinakwenda na wakati kwa kukiuka misingi ya imani yao, makanisa yote ni mihimili ya shetani toka enzi yaliposhabikia UTUMWA mbaka sasa wanashabikia USHOGA
Bora zirudi zile dini za asiri, maana zamani za dini hizo ilikuwa ni marufuku kutenda maovu, ukifanya kinyume unaadhibiwa pale pale, sio siku hizi eti Mungu wa rehema matokeo yake watu wanafanya hata wanyama hawayafanyi.

Namtaka mtu aliye makini tuungane tuanzishe dini hii ya asiri.
 
Back
Top Bottom