Walokole Vs Wachawi: Nani Mnafiki hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walokole Vs Wachawi: Nani Mnafiki hapa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Junius, Nov 15, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Eneo la Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Novemba 12 mwaka huu lilikumbwa na tukio la aina yake kufuatia vita kubwa kuzuka kati ya baadhi ya watu wanaojiita walokole kutoka Kanisa la International Pentecoste Hollyness Church Ebenezer na watu wanaojihusisha na nguvu za giza ‘wachawi’ kupambana uso kwa uso mtaani mchana kweupe.
  bofya kiungano hapo chini ujionee kwa macho yake mechi hiyo......

  http://www.globalpublisherstz.com/
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Yaani nimecheka mpaka basi tena,dunia ina vituko hii!!!
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2015
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  mbona sioni kitu mzee, au wameshafuta?
   
 4. Javis Elias Balilemwa

  Javis Elias Balilemwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2015
  Joined: Apr 7, 2015
  Messages: 492
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  jamani tusimulie ss ambao mb 8
   
 5. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2015
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada una shahada ya uongo?Mbona hamna hamna hayo unayosema katika link?
   
 6. salumu mitema

  salumu mitema JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2015
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 229
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Walokole ni wanafiki
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,513
  Trophy Points: 280
  walokole kwa vituko.....
  sijui maji ya upako,mchanga mtakatifu mala sticker za ubarikio.zote hizo unauziwa kwa pesa ndefu sana....
   
 8. F

  Funge JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2015
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 585
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Lakini wewe umekubuhu kwa huo unafiki
   
 9. salumu mitema

  salumu mitema JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2015
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 229
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Bila shaka we ni kakobe
   
 10. M

  Mheshimiwa3 Member

  #10
  Jun 27, 2015
  Joined: May 22, 2015
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mada haina mashiko kwa sababu hakuna sehemu yoyote inayothibitisha hayo uliyoainisha
   
 11. nasmapesa

  nasmapesa JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2015
  Joined: Jul 31, 2014
  Messages: 3,829
  Likes Received: 2,843
  Trophy Points: 280
  Walokole ni nini?binadamu au kiumbe kingine?vinaishi wap?na vinapatikanaje?msaada
   
 12. s

  simanyane JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2015
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,257
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hakuna jambo la kumshinda Mungu isitoshe waliokoka ndo wakweli kuliko hao wengine ndo maana hujaweka wachawi vs waislam au vs Rc maana hao mungu wao haponyi wala hafui dafu kwa wachawi
   
 13. s

  stunna JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2015
  Joined: Nov 7, 2013
  Messages: 249
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kula like mkuu
   
 14. gfesto

  gfesto JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2015
  Joined: Nov 6, 2013
  Messages: 628
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ngoma droo, walokole wengi ni sawa na wachawi au ni wachawi.
   
 15. CHAULA RICH

  CHAULA RICH JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2015
  Joined: Jan 8, 2015
  Messages: 3,920
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 280
  Ujinga ni mzigo!,hivi aliyekwambia Walokole ndo wsnajua kuombea nani?,au Mungu wa Walokole ana Nguvu kuliko wa watu fulani ni nani?,Amka ndugu,Usikae ukifikiri ndani ya Kisanduku tu!,fikiri pia hata Nje ya kisanduku.Km kweli unayoyasema hebu nenda Muhimbili kawasaidie ndugu zetu wanaotaabika kwa Magonjwa mazito mazito!,hebu nenda basi pale Milembe kafanye Uponyaji km Ule alioufanya Yesu,Lah! ukishindwa hapo kutokana na umbali au kazi basi nenda Makaburini kafufue ndugu zetu waliolala mauti,Oh!,nimekumbuka kuna UKIMWI,enyi walokole mnaojisifusifu km Mafalisayo tafuteni basi tiba ya huu Ugonjwa!,Mkiweza kufanya haya walau mtapata Maksi kadhaa za kuaminiwa na watu,Lkn mkiendelea na USANII wenu majukwaani muda si mrefu hatutawatofautisha na Matapeli au Zecomedy na tukiwachoka sana tutawaita MAKANJANJA WA IMANI.Wadanganyeni hao hao wajinga wenzenu.
   
Loading...