Nimekupata kabisa,lakini hilo lilikuwa jibu la swali niliulizwa na GT mmoja humu JF. Nilikuwa napingana na waliokuwa wanaona hizo takwimu ni negative kwetu kama Taifa, hawakuwa wameangalia upande wa pili. wao walikuwa watetezi wa wazungu wenye takwimu.Mkuu hujajifunza kitu hapo? Hizo zote ambazo zimetajwa kama ni nchi ambazo risk yake ipo juu katika kuwekeza kwenyw madini ni zile nchi ambazo zimejitambua na kuamua kupambania haki zao za maliasili kasoro DRC ambayo risk yake inatokana na ukosefu wa usalama japo inaporwa!