Walk the talk -chadema -nguvu ya umma


D

DENYO

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
698
Likes
3
Points
35
D

DENYO

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
698 3 35
Kufuatia ujumbe wa bongo tz ndani ya jf-wanamageuzi na wasio na mawazo mgando na wasio mamuluki au vibaraka wa ridhiwani tufanye yafuatayo;

1. Tuendelee kuamsha umma wa watanzania madai ya katiba mpya na tume huru chini ya uongozi wa umma wa dr slaa nje ya bunge na mpiganaji mbowe ndani ya bunge.

2. Kama anavyofanya mh thomas nyimbo kufungua matawi jimbo lake lote vivyo hivyo chadema jimbo la kinondoni tumeanza rasmi kazi hiyo, tunawataka vijana kuanza kazi hii nchi nzima ili wakati tunasubiri marekebisho ya katiba na tume huru, tuwe tumepanga safu kuanzia ngazi ya shina nchi nzima

3. Kufungua matawi kutatufanya kushika hatamu kwenye chaguzi za serikali za mitaa ili kumkomboa mtanzania

4. Chadema makao makuu opresheni sangara sasa mikoa yote tanzania chini ya wasomi prof baregu, na kiongozi wa umma dr slaa

5. Tusamabaze katiba ya chadema inayolenga katika nguvu ya umma kufikia mabadiliko ya kweli.

6. Wabunge wetu wote wakabidhiwe mikoa ya kusimamia shuguli za chama kimkakati ili kupanga safu za kisomi na kiufundi kila ngazi ya uongozi

haya yote tunayaweza na yatatufanya kuweka historia tanzania kama ilivyotokea sasa.
 

Forum statistics

Threads 1,237,393
Members 475,533
Posts 29,286,927