Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,686
- 149,898
Hii ni clip ya hotuba ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.
Hii ni clipya hotuba ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.
Watu makini ni wale waliosema haya mapema lakini mkawapuuza.Yale yoote wapinzani waliyoyasema sasa yanafanyiwa kazi na Raisi wetu Shupavu na Makini Mheshimiwa JPM.Watanzania wote tumuunge mkono katika harakati hizi
Hii ni clipya hotuba ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.
Hata akili ya kuelewa huna!Mara upo upande wa Tundu Lisu kuwa serikali italipa gharama kubwa baadaye. Mara unasema Mh Magufuli anafuata walichokisema na kukishauri wapinzani zamaani. Wewe mwanamke kuwa na msimamo basi?
Hii ni clip ya hotuba ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.
Yani yanakera sana!Sasa juzi ungesikia majitu majinga ya CCM yalivyokuwa yanapiga makofi! Utadhani ni hoja mpya kumbe ndo hoja yetu toka long time.
Hata akili ya kuelewa huna!
Tunachowambia hapa ni kuwa mlipaswa kuwa wasikivu wakati mnashauriwa kuhusu maswala ya madini na gesi na hata huyo Muhongo asingekuwa waziri kama mngewasikiliza wapinzani.
Hii ni clip ya hotuba ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.
Ndio maana anasema siku tukiacha uvyama tukasimama pamoja kama taifa ndio tutafanikiwa!
Ila kwa hii tabia ya ccm kuona Suala lililoibuliwa Na upinzani kama hakuna chochote, tutaendelea kuibiwa mpaka akili zitukae sawa!
Halafu eti sasa hivi hii mijitu ya ccm unasema tuuungane? Kisa limeanzishwa Na mtu wa ccm!
Ujinga huu