Waliyokosa Uwaziri

Mpenzi

Member
Nov 3, 2009
49
0
Jamani hii ni kwel au tetesii? nasikia waliyokosa uwaziri mwaka huu kikwete atawapa nafasi nyegine sababu walikua ni wachapa kazi?
 
Unafikiri atawahacha? ccm ilishasema wote waliokoswa ubungu watapangiwa kazi zingine ili kuweza kufidia pesa zao wakati wa kampeni, kwa hiyo tegemea kuwaona hao mawaziri kuwa wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi n.k
 
Jamani hii ni kwel au tetesii? nasikia waliyokosa uwaziri mwaka huu kikwete atawapa nafasi nyegine sababu walikua ni wachapa kazi?

Tusome alama za nyakati, walisema ooh masha atapewa, mara sita, wengine Tibaijuka ni wairi mkuu, ola
tukubali muhula huu ni wa kazi tu, wamepata fundisho kubwa hawa hawafanyi tena kosa la karne,
 
Lakini ukweli unabaki kwamba kukosa ubunge hasa katika mchakato kama huu uliopita si kigezo cha mtu kushindwa kutekeleza majukumu yake. Mimi naamini wako wengi tu ambao bado wana mchango wa kutoa katika maendeleo ya nchi hii iwapo Mkuu wa Serikali ataona wanahitajika. Waliowakataa ni wapiga kura wa majombo yao na ni kwa sababu mbalimbali ambazo pengine si za kiutendaji sana.
 
Back
Top Bottom