Walivofanyiwa Uamsho ndio atakavofanyiwa Mbowe

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
Kitu kimoja ndugu zangu mkiona kesi mnapelekana mahakamani ni haya.
Hasara zake
-usumbufu wa kupotezeana mda maana tarehe kila siku zinaruka mpaka siku hukumu inatoka unaweza chukua miezi au miaka 2,3,4,5…. Ndio upate haki yako.
-mahakamani mkipelekana hata kama ni uongo au kweli linapokelewa tu.

Tuje kwenye mada yenyewe.
Viongozi wa jumuiya ya uamsho kipindi cha jakaya walivo sota na kesi mahakamani mpaka kutoka kipindi Ssh.

Kwa ndugu yetu Mbowe kwa kesi yake inaonyesha utawala huu uwezi kukubali kesi yake wapigwe goli 10 kwa wakati mmoja huku wakiwa na wasiwasi ya katiba mpya.

Kama mahakama ikimpa ushindi basi kuomba katiba mpya ndio kama imewashiwa petroli kwa umaarufu wake.

Kuna hatari Mbowe kumfanya kama uamsho mpaka wasikie kumetulia na watu wamepunguza makali ya katiba mpya.

Inawezekana wakapita hata maraisi wa wiwili na mbowe akiwa gerezani na kesi ikiwa inarushwa mpira tu.
 
Umepita mulemule " ndicho atachofanyiwa jamaa hawezi kutoka leo wala kesho.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom