Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

Wewe unaijua Ununio sec?.....labda alihamia huko baadae lakini Bashe, Polepole na Jerry Slaa walikuwa Benjamin Mkapa!
Labda kama alichelewa kuanza shule Benjamin Mkapa ni shule mpya sana mpaka mtu aliyezaliwa Mwaka 1975 awe amesoma pale!!!
 
Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.

Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary

Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary

Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary

Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa secondary

Siyo kwamba walikuwa darasa moja bali shule moja yawezekana vidato tofauti kama mimi na mzee Mgaya pale Tosamaganga secondary.

Ila katika pair zote hapo juu hii ya Mbowe na Ndugai inatuonyesha Kibaha secondary kulikuwa na ubabe ubabe sana yaani udikteta fulani hivi au unyapara nyapara.

Ni mtazamo wangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
KIBAHA ya kipindi hicho ni vipaji maalum, kama Moshi Tech, ilboru, umbwe, Tosa na Mzumbe, mnafikir MBOWE ana Masters ya kupewa kama Madaktari wetu hata kingereza hawajui?
 
Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.

Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary

Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary

Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary

Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa secondary

Siyo kwamba walikuwa darasa moja bali shule moja yawezekana vidato tofauti kama mimi na mzee Mgaya pale Tosamaganga secondary.

Ila katika pair zote hapo juu hii ya Mbowe na Ndugai inatuonyesha Kibaha secondary kulikuwa na ubabe ubabe sana yaani udikteta fulani hivi au unyapara nyapara.

Ni mtazamo wangu tu.

Maendeleo hayana vyama!
Naomba kuuliza na makonda na kigwangala alafu na mwigulu na lugola
 
Back
Top Bottom