Walipa kodi mko wapi?charaza bakora wote,wanasiasa na madaktari!!

Kilaza Flani

Member
Oct 27, 2011
61
2
Hawa watu wanaweka matumbo mbele afu wanamsahau mlipa kodi ambae ndo anawawezesha..wote wasaliti,dawa yao ni bakora mtindo mmoja!
 
Hawa watu wanaweka matumbo mbele afu wanamsahau mlipa kodi ambae ndo anawawezesha..wote wasaliti,dawa yao ni bakora mtindo mmoja!

Walipa kodi wajichape wenyewe bakora kwa kuweka madarakani serikali ya kizembe!
 
Wako wapi washika bakora?!, au nao wamehongwa posho kimyakimya kwahiyo wanawaacha walipa kodi wafe kama sisimizi?!. Mimi nitaendelea kuhoji, majeshiyetu yakowapi yanaacha raia waliapa kuwalinda wakifa kama pungo?!.
 
Mnalipa..tena kwa kiasi kikubwa coz fungu lenu ni kubwa ukicompare na kima cha chini na sekta zingne!! Ila mmekosa huruma kwa wananchi ambao ndo wanaowawezesha iyo mishahara..na mnademand more kwa kuwaumiza hao hao walalahoi!!

kwani siye atulipi kodi mkuu?
 
Majeshi yanasubir raia waandamane ndo yajitokeze kuwakandamiza..mwananchi wa kawaida hana mkomboz nchi hii

Back
Top Bottom