Waliowatapeli ma-dancer pesa zako za kufanya show kwenye Simba day waitwa Polisi

HUKU ABROAD

Senior Member
Nov 20, 2020
127
209
Habari

Mimi ni kijana mtaftaji kama vijana wengine , lakini linapotokea jambo linalohusu kudhurumu haki ya mtaftaji lazima tuseme.

Juzi kulikuwa na mechi ya simba Jijini Dar es Salaam , wasanii na madancer walipewa kipaumbele kwenye kushiriki katika suala Zima entertainment , wasanii huwekewa budget yao kulingana dancer wanaowatumia .. lakini cha kushangaza kunaa baadhi ya watu wanadharau kazi ya dancers na hii ilipelekea siku ya Simba day dancers walioingia uwanjani wakisindikiza kundi maarufu la hip hop ( weusi ) kutokupewa ela zao ..

Hii ilipelekea kiongozi wa madancer kuchukua maamuzi na kwenda polisi, alipofika polisi alijielezea na kupewa barua ya kuwapa wale watu waliohusika na malipo .

Swali linakuja je dada huyo kuchukua maamuzi ya kwenda polisi , alikosea au alitakiwa avute subira !!?

Comment zenu muhimu
 
Angevuta subira,kama hao aliowapeleka polisi wakipata hawataita tena hao madancer
 
LOrd eyes kafanyaje .. waliohusika na malipo .. means waliopewa Hela wawalipe madancer nddio wamezingua waligoma kulipa madancer wote walioshirik pale .. hio sio vzr ebu chukulia ungekuwa wew utapeliwa haki yako ungesemaje .. !?
Muulize ndugu yako kwanza Lord eyes
 
Mwakani mje kwenye Tamasha la Wananchi Yanga! Huko mtapata hela zenu bika shida yoyote ile. Hao simba mbona ni wezi tu.
 
Back
Top Bottom