Waliowahi kusoma nje ya Tanzania: Ni vitu gani muhimu vya kuzingatia?

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
Nilikuwa ninashida ya kutaka kujua kwa wale waliowahi kwenda kusoma diploma au degree ya kwanza nje ya nchi mfano S. Africa ni vigezo gani wanatumia katika kubadilisha matokeo yako kuelekea kwenye mfumo wao na ni vitu gani vya muhimu natakiwa niwenavyo kama vizibitisho vya elimu yangu.

Msaada please.
 
nilikuwa nashida ya kutaka kujua kwa wale waliowahi kwenda kusoma diploma au degree ya kwanza nje ya nchi mfano S.Africa ni vigezo gani wanatumia katika kubadilisha matokeo yako kuelekea kwenye mfumo wao na nivitu gani vya muhimu natakiwa niwenavyo kama vizibitisho vya elimu yangu msaada please.
Wapo wengi mkuu, tatizo umepost jukwaa lisilostahili, ipost jukwa la Elimu uone majibu! Huku hawaoni, kuna watu wanaamka wanatembelea jukwa la Elimu tu mpaka jioni mkuu! All The Best
 
Back
Top Bottom