Waliowahi kushika nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa...

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
wadau naombeni kama party of history anayefahamu aniambie majina ya watu waliowahi kuwa wenyekiti wa cdm, tangu kuanzishwa kwake...
 
CHADEMA :
1. Edwin Mtei
2. Bob Makani
3. Freeman Mbowe

CCM:
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Mtukufu Alhaji Ally Hassan Mwinyi
3. Ndugu Benjamin William Mkapa
4. Jakaya Mrisho Kikwete

CUF :
1. James Mapalala
2. Profesa Ibrahim Haruna Lipumba

UDP :
1. John Momose Cheyo

DP:
Mch.Christopher Mtikila...
.

END
 
chadema :
1. Edwin mtei
2. Bob makani
3. Freeman mbowe

ccm:
1. Mwalimu julius kambarage nyerere
2. Mtukufu alhaji ally hassan mwinyi
3. Ndugu benjamin william mkapa
4. Jakaya mrisho kikwete

cuf :
1. James mapalala
2. Profesa ibrahim haruna lipumba

udp :
1. John momose cheyo

dp:
Mch.christopher mtikila...
.

End

umesahau chadema ilianzishwa na nani?lowasa monir lowasa akishirikiana na mtei musa kaka wa edwini mtei u hujui uulize sio unatoa majibu hasi hapa
 
QUOTE=MTAWALA;umesahau chadema ilianzishwa na nani?lowasa monir lowasa

Lowassa kichwa cheupe au? Ebu tupe iyo historia,unaonekana unajua mengi. Twende kazi.....
 
Katika wenyekiti wote wa chadema waliopita. Boom ni huyu wasasa, hajui hata kuongea, hana diplomasia, hana kisomo, hajawahi kuwa hata monitor shule. Nawahurumia Chadema.
 
Katika wenyekiti wote wa chadema waliopita. Boom ni huyu wasasa, hajui hata kuongea, hana diplomasia, hana kisomo, hajawahi kuwa hata monitor shule. Nawahurumia Chadema.
Mbowe kweli ni boom. Angalia alivyojenga chama. Katika kipindi cha miaka mitano kimetoka kuwa na wabunge 4 hadi 46. He is a real boom.
 
Dar es Salaam -historia inakuhukumu chuki zako kwa chadema na ubaraka wako wa kifasadi, sasa nikupe nyeti kama hujui -mbowe ni source kubwa ya vijana wengi kujiunga chadema. Kwa creativity yake alikutana na kundi kubwa la wahitimu vijana mbalimbali wakiwemo wahitimu wa masters na first degree na kuwapa somo la kuvamia majimbo. Mpaka sasa CDM inakubalika kwa kiasi kikubwa na watanzania wazalendo ndio maana ikashinda mchakachua madikiteta. CDM INASHINE NA ITAWAUMA SANA WATU KAMA WEWE CHAMA CHA NGUVU YA UMMA
 
Katika wenyekiti wote wa chadema waliopita. Boom ni huyu wasasa, hajui hata kuongea, hana diplomasia, hana kisomo, hajawahi kuwa hata monitor shule. Nawahurumia Chadema.

HEBU ULIZA WAKATI MBOWE ANAPEWA UENYEKITI CHADEMA ILIKUWA NA WABUNGE NA MADIWANI WANGAPI,ACHA KUONGEA UPUPU.


Freeman Mbowe ndiye mwenyekiti bora kabisa katika wenyeviti wote wa vyama vya ushindani Tanzania.Katika uongozi wa Freeman Mbowe ndiyo CHADEMA kimekuwa na kuvizidi vyama tasa kama CUF,UDP,TLP
 
CHADEMA ni Slaa, na Slaa ni CHADEMA! Wabunge wengi kuchaguliwa imetokana Slaa kugombea urais na kukubalika kwake! Mbowe kila mara alipogombea idadi ya wabunge mbona haikupanda? Embu leo Slaa atangaze anaondoka CHADEMA uone watu watakavyomfuata. Lakini hakijaharibika kitu, Mbowe nae ni mpiganaji mzuri tu.
 
Back
Top Bottom