Waliowahi kuitwa written interview Utumishi, ni maswali gani huulizwa?

mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
281
192
Habari za majukumu wadau,

Nimesikia watu wengi wakielezea kuwa unapoitwa kwenye written interview ya utumishi tegemea kukutana na maswali tofauti na madesa ya chuo.

Naomba wazoefu washee nasi ni maswali ya aina gani huuliza katika written interview ikiwezekana na jinsi ya ku overcome possible traps

Ahsanteni.
 
Kama nafasi ya kazi husika katika tangazo la kazi ilitaja program tofauti kama vile economics, account, Marketing, Human resources etc jitahidi upitie research na current issuues uwe unazijua.

Ila kama walitaka watu wa Account tu au Medicine tu kapekue na yale madesa yako ya darasani.
 
research how mkuu
 
Hujui research bro?

Una degree, diploma, certificate au umesoma ufundi?

of course research naijua na nimefanya ktk undergraduate ,,bt je unaulizwa title ya research yako na findings ulizozipata? Au ni maswali gani wanakuuliza ktk hiyo sehemu ya research...Research is a wide term
 
Kabla hujafanya hiyo research yako mlisoma reserch concepts na theories.

What is research, types of reserch, reserch methodology, importance of research e.t.c
 
Back
Top Bottom