Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

na hii ndo uthibitisho wa demokrasia na uhuru wa kutofautiana mawazo?

sasa tofauti yake na wacommunist wa China iko wapi?

Ahsanteni watanzania kwa kumpuuza mdini THE BIG SHOW na wanakwaya wenzie wa nyimbo za udini kina Ritz na Boko haram
 
Ukiangalia wote waliofukuzwa ni wale waliokuwa na akili pana hata waliosimamishwa wote wanawazidi viongozi wa makao makuu upea wanaona wawafukuze ili waongoze milele.

Eti na wewe ni member wa jf?aahaa akili nywele kweli.
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Kwa upande wangu mimi binafsi naungana na uongozi wa Chadema kufukuza wale ambao niwasaliti,kwa mfano mtu anasema tatizo ni uenyekiti mimi napinga mtu kama anaona katiba inakiukwa sio kukimbilia kwenye media maana kuna taratibu zake,wakifukuzwa wanaleta maneno yasio natija,Chadema muda umekwisha anzeni kuzunguka nchi nzima.
 
Mwenye macho, haambiwi tazama! CDM ni mfano bora kabisa katika demokrasia ya Africa, ambayo inakumbatia unafiki na urafiki, na kuogopa ukweli! Tunawaombea kwa Allah, viongozi wa juu wa CDM wazidi kuimarika kiafya ili cku 14 zikifika maamuzi sahihi yachukuliwe.....
 
Kweli hili linanipashida sana ukijaribu kufuatilia wote waliosimamishwa hata wale waliofukuzwa ndani ya chadema ni wanasiasa ambao wanapigania demokrasia na kuhoji mambo ya msingi ikiwa ni pamoja na uwazi katika uendeshaji wa chama hasa kwenye maswala ya fedha na utawala.

Lakini pia wanasiasa hawa hufukuzwa na kusimamishwa wakati chama kikiwa kinaelekea kwenye uchaguzi wa ndani ya chama.

Nashawishika kuamini pasiposhaka kuwa ndani ya chadema demokrasia haipewi nafasi yake,kunaubabe na utawala wa kinguvu ambao huruhusiwi kuhoji kuhusu uendeshaji wa chama.

Watu kama kafulila,zito,kitila ,wangwe,shonza mtela na wengineo walifukuzwa au kusimamishwa ikiwa ni matokeo ya kudai demokrasia ndani ya chadema na matumizi mabaya ya fedha hii siyo sawa kunahaja ya chadema kujitazama na kuwapa nafasi wanachama kushiriki katika kuendesha chama chao siyo kundi dogo la watu kuongoza chama bila kuhojiwa.
 
Hiki chama kinaongozwa na wahafidhina Ayatolla Mtei, mbowe na slaa unategemea nini.

By the way Zitto hafukuziki
 
Tangu Mbowe awe mwenyekiti wa CHADEMA, wengi wamepata mateso ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kutokana na kudai demokrasia ndani ya chama.
 
Hiki chama kinaongozwa na wahafidhina Ayatolla Mtei, mbowe na slaa unategemea nini.

By the way Zitto hafukuziki
Ni kweli mkuu nimejaribu kucheki wote wanaofukuzwa ni wale wanaodai haki ya kidemokrasia lakini wale fuata upepo hata wakipiga matofari watu hawaguswi chama gani hiki jamani.
 
Hata Horace Kolimba, Himid Mansour na Aboud Jumbe nao pia walikuwa wana Democrasia je CCM imewafanyeje? na ni kitu gani kilimuondoa Shibuda CCM?
 
Hiki chama kinaongozwa na wahafidhina Ayatolla Mtei, mbowe na slaa unategemea nini.

By the way Zitto hafukuziki
Mkuu, Zitto amesema kuwa haondoki. Tuone jeuri ya Mbowe na ukoo wake kama wana ubavu wa kumfukuza
 
Tangu Mbowe awe mwenyekiti wa CHADEMA, wengi wamepata mateso ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kutokana na kudai demokrasia ndani ya chama.
Sure mkuu wengi sana wamepata shida na wengine mauti yamewapata huyu mbowe moto wa mbinguni ataukuta.
 
Hata Horace Kolimba, Himid Mansour na Aboud Jumbe nao pia walikuwa wana Democrasia je CCM imewafanyeje? na ni kitu gani kilimuondoa Shibuda CCM?
Tukumbushe walikuwa wanadai nini kama upo sawa kwenye tafiti zako.
 
Hata Horace Kolimba, Himid Mansour na Aboud Jumbe nao pia walikuwa wana Democrasia je CCM imewafanyeje? na ni kitu gani kilimuondoa Shibuda CCM?
Mkuu, ahibuda hajaondoka ccm bali alienda chadema kutafuta nafasi ya kuwa mbunge baada ya chama chake kutompitisha. Hata Mbowe analijua hilo, 2015 anarudi nyumbani
 
MAGAMBA Mtahangaika sana kuwatetea wasaliti ambao mnawatuma kuvuruga CHADEMA lakini tutaendelea kuwanasa na kuwaadabisha. WASALITI WOTE TUPA KULE.
 
Ni kweli mkuu nimejaribu kucheki wote wanaofukuzwa ni wale wanaodai haki ya kidemokrasia lakini wale fuata upepo hata wakipiga matofari watu hawaguswi chama gani hiki jamani.
Mkuu, kutokana na ukihiyo wa Mbowe, harumii akili hata kidogo na ana matatizo makubwa ya kukosa busara. Yeye anadhani marumizi ya nguvu ndo yanajenga chama kumbe ndo yanabomoa. Huyu ni kiongozi wa kwanza karika historia ya vyama vingi nchini kuongoza chama akiwa na kiwango kidogo sana au hana kabisa elimu. Pia huyu ni kiongozi wa kwanza kufukuza waru wengi
 
Mkuu, Zitto amesema kuwa haondoki. Tuone jeuri ya Mbowe na ukoo wake kama wana ubavu wa kumfukuza
Uzuri ni kwamba ameshavuliwa Vyeo vyote.Sasa hivi hana tofauti na Shibuda.Hataelewa tena mikakati ya CDM iliyokuwa ikimuweka mjini kwa kupiga dili.
 
MAGAMBA Mtahangaika sana kuwatetea wasaliti ambao mnawatuma kuvuruga CHADEMA lakini tutaendelea kuwanasa na kuwaadabisha. WASALITI WOTE TUPA KULE.
Dhambi ya ubaguzi haitakuacha ukiwa salama. Wote wakifukuzwa mwisho wa siku utafukuzwa wewe kwa kosa dogo sana. Pia kama umeamua kuwatumikia akina Mbowe na Slaa, weka mbali mke wako au usioe kabisa
 
Uzuri ni kwamba ameshavuliwa Vyeo vyote.Sasa hivi hana tofauti na Shibuda.Hataelewa tena mikakati ya CDM iliyokuwa ikimuweka mjini kwa kupiga dili.
Kwani hivyo vyeo tangu amepata aliwahi kuvitumikia?
 
Back
Top Bottom