Waliovuruga uchaguzi wa Majimbo nchini Nigeria wawekewa Vikwazo vya Kuingia Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
1600144383063.png

Raia wa Nigeria walioshiriki "Kuchakachua" matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikazo

Imeelezwa kuwa uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika Majimbo ya Kogi na Bayelsa hakuwa wa Kidemokrasia hivyo matokeo yake yalivurugwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Michael Pompeo aliyetangaza marufuku hiyo hajaweka wazi majina ya waliowekekwa vikwazo hivyo

Marekani imetumia nafasi hiyo kutangaza kuendelea kuunga mkono michakato ya Kidemokrasia katika chaguzi na kukemea vurugu zozote zenye lengo la kuharibu uchaguzi

=====

The United States of America has imposed visa restrictions on election riggers in Nigeria. Saying their actions, seen as undermining democracy, during the Kogi and Bayelsa governorship elections in 2019.

Secretary of State, Mike Pompeo, who imposed the visa restriction, refused to disclose the names of those affected. Similar punishment has been meted to other individuals seen to be manipulating the process leading to the September 19th and October 10th governorship elections in Edo and Ondo states.

In a statement on Monday by Morgan Ortagus, Department spokesperson as quoted said the United States remained committed to working together to advance democracy and respect human rights.

The statement reads, "The United States is a steadfast supporter of Nigerian democracy. We commend all those Nigerians who participated in elections throughout 2019 and have worked to strengthen Nigerian democratic institutions and processes. We remain committed to working together to advance democracy and respect for human rights and achieve greater peace and prosperity for both our nations.

"We condemn the acts of violence, intimidation, or corruption that harmed Nigerians and undermined the democratic process. As the Edo and Ondo State off-cycle elections near, we urge all stakeholders, including the Independent National Electoral Commission, the political parties, and the security services, to uphold the tenets of democracy and facilitate genuinely free and fair elections, conducted in an appropriately transparent and non-violent manner."

Devdiscourse
 
Kwani wana shida ya kuingia marekani? Wangeliwatafuta wakawapeleka mahakamani na kuwafunga maisha, hapo Mahela angelipata habari yake! haya ya kutoingia marekani hayana impact maana walikuwa hawategemei kwenda huko maishani mwao
 
Habari kama hizi haziwezi kuwafurahisha watu fulani katika nchi hii kwani wao ili ionekane wameshinda uchaguzi wowote ule lazima uhuni na mizengwe ifanyike piga ua.
 
Back
Top Bottom