Waliouwawa kwenye ndege ya Ukraine,ni wakati muafaka sasa wa kulipiza kisasi

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hawa Iran ameuwawa mtu mmoja tu,nchi mzima imezizima kwa mihemko ati wanalipiza kisasi.Na kweli wameanza kuua hovyo hovyo na kusingizia ni bahati mbaya.

Sasa iwapo mtu mmoja ameuwawa,mkajiapiza kulipiza kisasi,sasa na ninyi ni muda wa kupigwa kwa kupoteza raia wengi wasio na hatia wa mataifa mengine.

Upuuzi wa hawa waarabu ndio maana wanalazimishwa wasimiliki silaha za nuclear.Kwa uzembe kama huu,si watasababisha majanga duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna mwamerika basi Iran akatambike
 
'Upuuzi wa hawa waarabu ndio maana wanalazimishwa wasimiliki silaha za nuclear.'

Kwahio Iran ni waarabu sio?

Elimu za kuunga unga ni shida sana.

dodge
 
Hawa Iran ameuwawa mtu mmoja tu,nchi mzima imezizima kwa mihemko ati wanalipiza kisasi.Na kweli wameanza kuua hovyo hovyo na kusingizia ni bahati mbaya.

Sasa iwapo mtu mmoja ameuwawa,mkajiapiza kulipiza kisasi,sasa na ninyi ni muda wa kupigwa kwa kupoteza raia wengi wasio na hatia wa mataifa mengine.

Upuuzi wa hawa waarabu ndio maana wanalazimishwa wasimiliki silaha za nuclear.Kwa uzembe kama huu,si watasababisha majanga duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wàmeua raia wao wa kutosha...
Screenshot_20200111-083407_Chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili zako unaona tofauti kati ya mwajemi na mlebanoni au mmisri?

Wewe usiye na elimu ya kuunga una nini kama faida ya elimu yako?Au ndio zile elimu za kutukania watu wasio na degree nne?
Kipindi kile Iran ilivyoua Wanajeshi wa US zaidi ya 250,Iran ilienda kutambikia wapi?

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom