VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Watendaji na watumishi waliosimamishwa au kuachishwa kazi tangu kuanza kwa Serikali ya awamu ya tano,wanajipanga kuwasilisha maombi yao ya kupinga kutumbuliwa kwao katika mahakama mbalimbali nchini. Watumishi hao wa umma ambao wamekuwa 'ndugu' na wamoja wanaendelea na vikao vyao vya kiushauri na tathmini.
Tangu kuanza kwa Serikali ya Rais Magufuli,makumi ya watumishi wamesimamishwa au kuachishwa kazi na Rais,Mawaziri,Wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na Mameya. Watumishi wote waliosimamishwa wanaendelea kulipwa mishahara yao bila kufanya kazi yoyote. Watumbuliwa wamepania kupambana na kutikisa nchi pamoja na Serikali kwa ujumla. Wanapanga kuhoji uhalali wa kusimamishwa au kuachishwa kwao!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)