Waliotumbuliwa waifirisi serikali

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hao watumishi waliosimamishwa kupisha uchunguzi wanalipwa mishahara ingawa wapo wanaolipwa yote na tafauti inatokana na vifungu vilivyosababisha kusimamishwa kwao.
 

Attachments

  • IMG-20160224-WA0000.jpg
    IMG-20160224-WA0000.jpg
    53.4 KB · Views: 25
Hao watumishi waliosimamishwa kupisha uchunguzi wanalipwa mishahara ingawa wapo wanaolipwa yote na tafauti inatokana na vifungu vilivyosababisha kusimamishwa kwao
mbona ndiyo taratibu za utumishi zilivyo wameifilisi vipi sasa watu wengine kama walevi.
 
Kab
Hao watumishi waliosimamishwa kupisha uchunguzi wanalipwa mishahara ingawa wapo wanaolipwa yote na tafauti inatokana na vifungu vilivyosababisha kusimamishwa kwao.

Kabla ya mtu kuleta lalamiko fanya utafiti kidogo wa jambo unalolalamikia. Sheria ya Ajira na Masusiano kazini Namba 6, 2004 inaweka wazi kwamba " an employee can be suspended on full remuneration to pave way for investigation".

Watumishi wanaosimamishwakazi mpaka sasa wanasimamishwa kwa tuhuma. Kinachotakiwa ni kuundiwa Tume na wapewe muda wa kusikilizwa. Tuhumu zikithibitika ni za kweli wanafukuzwa kazi. Kama tuhuma hazitathibitika wanarudi kazini. In other words watumishi wote waliosimamishwa kupisha uchunguzi ni waajiriwa halali- sasa wewe unayesema wanafilisi serikali unaweza kueleza ni kivipi wanafilisi serikali? au unataka wasilipwe mishahara yao sababu tu ya tuhuma?
 
Back
Top Bottom