Sasa huyo anayeuliza neno hili (Sehemu gani sija) ana maana ya kumjibu Msemaji wa neno (Tukaze Mkanda Uchumi ukue) nimecheka kweli leo hahahahahahahahahahah
Bujibuji umeliona hilo, yawezekana zinawasilisha mapungufu fulani na siyo udini maana nyingine ni angavu na nyingine giza, Kufukiria udini ni sera mpya ya wanaCCM ingawa siamini Bujibuji aweza kuwa mmoja wao:canada::crutch::ballchain: yatosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.