Waliotengeneza Album ya R.Muhando wametumia technlojia gani? huwezi kuiplay katika computer

Mamaaaa!! Weee! Cosososota wakwapi! Wamelala eeeh ! Kumbe!
ndo maana nilijarib nikajua li-computer langu bovu sasa kwa maelezo yenu kumbe bado mpya mang'anyu kabisa!!

umeona eh,nikiwaeleza hapa wanafikiri ni siasa za arumeru
wataalam leen majibu,
 
Wanachofanya ni kuiandika DVD kinyume na standards kwa njia ambayo DVD players nyingi bado zitaweza kuisoma lakini DVD drive nyingi zitashindwa. Jaribu kutumia ClonyXXl kugundua ni protection gani imetumika CD Media World - CD/DVD Utilities ikishindwa clony Jaribu program nyingine kwenye hiyo page. Pia Jaribu kwenye PC yenye Linux.
 
nilisubiri majibu yenye mwanga kama huu.
je mkubwa hii njia inaweza kuwa mkombozi kwa wizi wa kazi za wasanii
 
nilisubiri majibu yenye mwanga kama huu.
je mkubwa hii njia inaweza kuwa mkombozi kwa wizi wa kazi za wasanii

Tatizo ni kwamba inahitaji mtu mmoja tu atengeneze copy na kuipandika mtandaoni inakuwa haina maana tena plus unawazuia wateja halali kuangalia DVD kwenye computer zao. Inaweza kusaidia in short term hasa kwa bongo ambapo distribution ni kwa physical copies zaidi.
 
Ni kuwa pana wakati walianza kuzifunga CD na DVD kwa kuzifanya zisisome kwenye Coputer. Ukiangalia DVD na CD na namna hiyo utaona kuwa zimeandikwa (kuchomwa) hadi mwisho na hapo kunatokea kisehemu hakijachomwa na baadaye wanaendelea kuchoma kisehemu kidogo sana kwa nje.

Hiki kisehemu huwa wanaweka Program ambayo ukiingiza kwenye Computer, kinapeleka Information ambazo Computer inashindwa kusoma ila ukiweka kwenye VDV Rom (Deck), hiyo deck haina uwezo wa kusoma hizo data za mwisho na inaishia kusoma DVD au CD bila matatizo.

Pia kuna mchezo unaitwa REGION. Hawa jamaa wa Hollywood waliigawa dunia kwenye Region 6. USA ikiwa namba 1 na nyingine zimegawanyika tofauti tofauti. Kinachotokea hapo ni kuwa ukinunua DVD USA, ukaenda Asia kwenye DVD Player iliyotengenezwa kwa ajili ASIA basi hiyo DVD haitacheza.
Ila hii ipo kwa watengenezaji wa DVD Player wa kampuni kubwa kama Sony, Phillips, LG, Samsung nk. Ila hawa watengenezaji wa DVD za ovyo ovyo zenye majina ya ajabu ajabu, huwa wanagoma kuweka hizo limitation za Region na hivyo DVD player zao zinacheza DVD za dunia nzima bila kujali REGION.

Unaweza kutumia program za ku-copy hiyo DVD ila wengi wanadai kuwa wakati mwingine, unaweza kuharibu DVD player yako ya Computer. Ila kama kwako Tsh5000 ni nyingi kuliko bei ya Deck ya DVD, wee endelea tu kuvuta hizo program za ajabu ajabu na ku-copy. Pia hizo program, nyingi zinaweza kuja na Trojan au Virus na hakikisha kuwa una Internet Security nzuri sana kwa uhai wa computer yako.

Nafikiri aliyeshauri kuwa utafute DVD Recorder (Deck) na ufanyie huko, inaweza kuwa nzuri sana. Ila pia tafuta zenye majina ya ajabu ajabu kwa sababu hao akina Sony, Pineers, Toshiba nk wanaweza kuwa na wao wamezuiliwa ku-copy DVD au CD iliyofungwa..... Kila la kheri.

NB: Kudownload vitu kwenye Internet kama upo USA, European Union, Canada na nchi kadhaa, inaweza kukuletea Ugeni wa POLISI nyumbani kwako. Muwe waangalifu sana na huu wizi maana watu wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Mama mmoja nasikia German alikuwa akivuta Miziki na film kwenye Internet, wamemletea bill ya zaidi ya Euro 40,000.
 
Hii album mpya ya UTAMU WA YESU nimeiingiza katika laptop ili niweze kuicopy lakini haionekani kabisa wakati ninayo DVD room.nimemuuliza na mwenzangu akasema hivyo.nafikiri wamefanya hivyo ili kuepuka watu kuichakachua.

hoja ya msingi hapa ni je wametumia technlojia ipi?

Kuna njia mbili nilizotumia mm na zote zimefanya kazi so kazi kwako kama ya vodacom
FOR UBUNTU USER (TUMIA VLC ONLY)
1.weka cd yako kwenye cd rom
2.Play wimbo wowote kwa kutumia vlc au open vlc kama unayo kwenye desktop
3.Click kwenye menu ya iliyoandikwa MEDIA ya kwanza kabisa(kwenye vlc juu kushoto)
4.Then sub menu itatokea scroll down hadi palipoandikwa CONVERT/SAVE then click
5.Page ndogo itafunguka,upande wa kulia utaona neno ADD click hapo
6.Browser itatokea kukupa fursa ya kuchagua wapi nyimbo zako zilipo hapo chagua wimbo unaoutaka then just add
7.Then click CONVERT/SAVE
8.Page nyingine itatokea chagua destination unayotaka copy yake iwe saved,kwenye setting chini yake hapohapo chagua format ya huo wimbo au video unayotaka ww
9.Click start hapo fasta itaanza kunvert hiyo video yako huku inaplay.

FOR WINDOWS USERS

kwenye window hii dvd ni kweli inagoma kuplay coz wametumia incryption kwa kutengeneza file la .exe ambalo only kwenye dvd player inaonesha just install nero 8 then rip/copy inakubali
 
Jibu la hiyo kitu ni UBUNTU! Nikipata muda nitaiupload somewhere hiyo CD ya rose, ipo kwenye pc ya wife, yeye ndy anapenda nyimbo hizo.
 
Hii album mpya ya UTAMU WA YESU nimeiingiza katika laptop ili niweze kuicopy lakini haionekani kabisa wakati ninayo DVD room.nimemuuliza na mwenzangu akasema hivyo.nafikiri wamefanya hivyo ili kuepuka watu kuichakachua.

hoja ya msingi hapa ni je wametumia technlojia ipi?

Ndiyo wimbo huu hapa kwenye link!

Rosa Muhando By: Utamu wa Yesu "New Song" - YouTube

Nimeusikiliza lkn nimeshindwa kuona tofauti ya wimbo huu na nyimbo zinazoimbwa na Mr. Nice au Twanga Pepeta. Nimesema haya kwa nia njema kabisa, hivyo kama kuna mtu anaweza akanielewesha ili nielewe mantiki ya huyu Mtumishi wa Mungu kufanya haya kwenye wimbo ambao ulilenga katika UINJILISTI, nitashukuru kama nitasaidiwa.
Natanguliza shukrani Wana-JF.

WanaJF;
Wimbo wa Rose Muhando mwingine unaoitwa RAHA TUPU huu hapa. Naomba nao uusikilize.

http://www.youtube.com/watch?v=I2cUgrbuEHg&feature=related
 
What you are doing is an offence punishable by Sections 9, 40, 41, 42, and 43 of the Copyright and Neighbouring
Act, 1999
. All others who advice you about simple way of breaking the law can be termed as "accessories after/before the fact". Please JF members, you are well respected as great thinkers, discourage pirates of authorship rights. Protect intellect works as to encourage innovations among our society.

Ukweli unauma!
 
ni kweli hii album mpya ya damu ya yesu ni kazi kweli kweli kuicopy kwa kutumia computer kwa kuwa haichezi katika dvd room.

fanya hivi

tafuta dvd deck ambazo zina option ya kurekodi pia,ikopy kwa kutumia dvd deck kisha ingiza katika format za kawaida hapo ndipo unapoweza kuicheza kwenye computer.

hii njia waliyotumia ni kiboko kwa wanaoiba kazi za wasanii akiwemo wewe.
mkome

Acheni chai nyie watu tuna rip 3D na Blueray movies halafu unaleta habari gani weye.
 
inategemea na dvd yenyewe. kuna dvd wanaziweka alama za moto. ichunguze hiyo dvd yako karibu na kitobo cha katikati kwa pembeni, hapo kwenye plastic utaona kama mtu kagusisha chuma cha moto na kuacha alama. kama hiyo alama ipo jua ndo huwezi icopy hata kwa msaada wa wanajf.
 
Nothing is impossible under the sun. Sema wewe hujui!
 
Duniani mambo yanachange sometimes sio notes za darasani na ufundi wa kujua kuformat compyuta na degree za IT za kibongo mtukane watu, toeni jibu kwa hoja sio kwa kelele,

Na mimi natafuta cd fake ya ps3 aliyenayo anitafute nanunua kwa lak 1 just pm for more details, ndo mtajua watu wakiamua wanaweza... Sony wamefanya unyama sijawai kuona kwenye ps3, hakuna cd za kariakoo za elfu 5 au 10, ngoma inasoma original tu

unataka cd za ps3 zipi??..mpira, magari mission au?....kama tukiumiza kichwa kuzipata utatoa sh.ngapi kwa kila cd?
 
Ni rahisi tu sema inataka muda kidogo.
IsoBuster kiboko yake.
DVD Decrypter
na
DVDFab 8
zote hizo zaweza kuwa msaada. Give them a trial
.

Shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
inategemea na dvd yenyewe. kuna dvd wanaziweka alama za moto. ichunguze hiyo dvd yako karibu na kitobo cha katikati kwa pembeni, hapo kwenye plastic utaona kama mtu kagusisha chuma cha moto na kuacha alama. kama hiyo alama ipo jua ndo huwezi icopy hata kwa msaada wa wanajf.

Kwa hiyo hiyo alama ndy inazuia kucopy?..hiyo ni alama ya kukuonesha genuine product tu. Nna mashaka kama unaelewa nazungumzia nini. Kwa ufupi hiyo ulbum tayari mimi nnayo kwenye softcopy!
 
Kuna njia mbili nilizotumia mm na zote zimefanya kazi so kazi kwako kama ya vodacom
FOR UBUNTU USER (TUMIA VLC ONLY)
1.weka cd yako kwenye cd rom
2.Play wimbo wowote kwa kutumia vlc au open vlc kama unayo kwenye desktop
3.Click kwenye menu ya iliyoandikwa MEDIA ya kwanza kabisa(kwenye vlc juu kushoto)
4.Then sub menu itatokea scroll down hadi palipoandikwa CONVERT/SAVE then click
5.Page ndogo itafunguka,upande wa kulia utaona neno ADD click hapo
6.Browser itatokea kukupa fursa ya kuchagua wapi nyimbo zako zilipo hapo chagua wimbo unaoutaka then just add
7.Then click CONVERT/SAVE
8.Page nyingine itatokea chagua destination unayotaka copy yake iwe saved,kwenye setting chini yake hapohapo chagua format ya huo wimbo au video unayotaka ww
9.Click start hapo fasta itaanza kunvert hiyo video yako huku inaplay.

FOR WINDOWS USERS

kwenye window hii dvd ni kweli inagoma kuplay coz wametumia incryption kwa kutengeneza file la .exe ambalo only kwenye dvd player inaonesha just install nero 8 then rip/copy inakubali

Approved
 
Back
Top Bottom