Waliotegemea malipo ya uzeeni ujanani sasa tena basi! Ufafanuzi kutoka Mamlaka - SSRA

Huu utakuwa ni ujinga. Unaacha kazi kwa kutegemea 20% ya contributions zako ndio uendelezee kampuni!!!

Hii sheria ya SSRA nimeipenda. Itasaidia sustainability ya mifuko yetu na pia wanaweza kuplan vizuri especially kwenye long term investmennts.

Too much pressure is more dangerous for the container then the content mind you........!!!!!!!!!!
 
Aisee. Nimejaribu kama dakika 10 kutafuta maneno makali ya kukujibu nimekosa. Yote naona yatapelekea nilimwe kifungo
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.

Tuangalie going concern ya mifuko na majority ya retirees na siyo kujiangalia wenyewe!!
 
huu ni wizi,na siku zote haki ya mtu haidhulumiwi kamwe,je endapo atakufa huyo mwanachama itakuwaje,
 
Kumbukeni nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!!
 
mtoa mada,mbona sijaona kipengele cha mtu akifa je mafao yake yanakwenda wapi? ni heri niache kazi kwan jasho langu walilo-save latosha. i wish!
 
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.

Tuangalie going concern ya mifuko na majority ya retirees na siyo kujiangalia wenyewe!!

Going concern ya mfuko? How about going concern ya mwanachama? Ina maana sisi wafanyakazi hatutakiwi kuwa na plan. Kuna ubaya gani mimi nikifanya kazi miaka 5 naacha najiajili mwenyewe? Anyway, nisiseme sana maana sijui nchi za wenzetu hasa jirani wanafanyeje.
Tatizo Serikali ipo mifukoni mwa watu wachache. Kwa hiyo sishangai kama hili ni shinikizo la mifuko yenyewe kama ambavyo wenye viwanda vya nguo walishinikiza serikali kuondoa kodi. Hizo hela ni kwetu, wanatutunzia. Kwani going concern ya mabenki ikoje pale mtu unaweza kuweka hela zako asubuhi, mchana unakwenda kuchukua?
 
Jambo moja muhimu hapa ni kwamba sheria ni MKATABA. Utaratibu huu ni mpya hivyoi ni lazima uhusike na michango ya kuanzia pale ulipotangazwa onwards. Kisheria kuna hoja hapo.
Huwezi kuimpose new terms on existing contract UNILATERALLY. Wanasheria tutoeni kifungoni.

Ni kweli,lets hope kwamba hii sheria haitofanya kazi retrospectively maana kuna kahela kangu nakafuatilia huko NSSF,ingawaje ni sheria ya kipumbavu lkn huwezi kumzuia mtu kuchukua pesa yake aliyochangia kwa hiari,na kama nimehama mfuko mmoja na kujiunga na mwingine iweje wanilazimishe pesa yangu ikae huko hadi nifike umri wa kustaafu?,wakati tayari naendelea kuchangia kwenye mfuko mwingine.,by the way nani kawaambia kuwa nitafika umri huo......shenz taip
 
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.

Tuangalie going concern ya mifuko na majority ya retirees na siyo kujiangalia wenyewe!!

Non sense,kwani investments wanazofanyia kwa pesa zetu haziwalipi?
 
kwa staili hii.. uzalendo wa nchi unaisha kabisa..mana wafanyakazi hawatakuwa na moyo wa kuitumikia nchi kwa nia ya dhati.

watu watakuwa bize kutafuta dili ambazo zitawafanya wawe na maisha thabiti pale inapotokea wakaacha kazi kabla ya hiyo miaka ya SSRA .

tutegemee wizi utaongezeka maofisini ...na serikali isipoangalia kwa makini jambo hili ijue hii kitu itawatengenezea hela za terazo za kaburi lake..
 
Mwanachama ameacha kazi akiwa na 30 yrs, amepata nafasi kusoma nje ya nchi masomo ya juu, na anahitaji pesa zake zimsaidie kulipia elimu yake, je sheria hii mpya inasemaje kuhusu mwanachama wa namna hiii?
 
matatizo yetu wabongo tutasahau kila kitu ndo watu watafanya kila kitu, tujiandae kuwa na sheria ya kurudisha utumwa, ufisadi, wizi, unyang'anyi...n.k huu ni mwanzo mungu atuepushe tunapoelekea kuna siku tutaamka hakuna ataeweza kufungua mlango wake.. hawa watu si wazuri tena..wanatumikia mapesa yao tu na masikio wameshafumba hawaioni tena nuru ya mungu.
 
Going concern ya mfuko? How about going concern ya mwanachama? Ina maana sisi wafanyakazi hatutakiwi kuwa na plan. Kuna ubaya gani mimi nikifanya kazi miaka 5 naacha najiajili mwenyewe? Anyway, nisiseme sana maana sijui nchi za wenzetu hasa jirani wanafanyeje.
Tatizo Serikali ipo mifukoni mwa watu wachache. Kwa hiyo sishangai kama hili ni shinikizo la mifuko yenyewe kama ambavyo wenye viwanda vya nguo walishinikiza serikali kuondoa kodi. Hizo hela ni kwetu, wanatutunzia. Kwani going concern ya mabenki ikoje pale mtu unaweza kuweka hela zako asubuhi, mchana unakwenda kuchukua?
Mkuu, kumbuka nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!! Mifuko ya hifadhi za jamii na banks ni vitu viwili tofauti!!!
 
CHADEMA mko wapi ufafanuzi plz.Nimeachishwa kazi namdai mwajiri 4.5m sizipati?we we we nyinyiemu acheni hizo.Kama noma na iwe noma j3 niko ofisi za nsssf morogoro.ole wao wasiponipa.Kweli serikali haitupendi du nimeamini
 
Hahahahha...who is Chadema?
 
Kumbukeni nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!!
Acha ujinga wewe, hivi mil 10 za sasa unazuia nisizichukue eti nizichukue baada ya miaka 20 ijayo hiyo ni akili kweli nikiwa na miaka 60, itanisaidia nini?, huoni kama ningeruhusiwa kuchukua sasa hivi zinginesaidia kuendeleza biashara zangu....ukweli ni kwamba serikali ya CCM imefilisika hivyo kimbilio ni kwenye mifuko ya jamii..
 
Back
Top Bottom