WALIOTAKA KUPIGA DILI LA DANGOTE WANAJULIKANA "WAADHIBIWE"


M

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Messages
350
Likes
336
Points
80
Age
49
M

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2016
350 336 80
Mh.Rais amesema kuwa suala la mwekezaji wa kiwanda cha cementi mtwara Alhaj Dangote kuwa eti amezuiliwa kupatiwa gesi ni uongo kuna watu walitaka mwekezaji huyo anunue Gesi kupitia wao ili wampige Udalali.Mh.Rais amesisitiza kuwa gesi atanunua kupitia shirika la gesi la serikali.Tunamwomba Mh.Rais hao wapiga dili kama ni watumishi wa umma waadhibiwe kwani walikuwa wanataka kuikosesha Serikali mapato.
 

Forum statistics

Threads 1,275,118
Members 490,908
Posts 30,533,189