Waliostaafu na wastaafu watarajiwa pokeeni ushauri utakaowawezesha kuishi kwa furaha na amani a

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,201
Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa.

Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea kila kitu hata mimi mama D sina cha kuongeza hapa zaidi ya kuwaomba msiupuuzie huu ushauri

Mkawe na week yenye mafanikio na baraka tele ndugu zangu
 
Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu
Kumbe nawe uliipata ila ametoa nondo kweli ila si kwa walimu wa shule za misingi, sijui nani aliwaroga
 
Hili darasa limekamilika
Tusiache ku share na wastaafu tarajiwa
 
Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa.

Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea kila kitu hata mimi mama D sina cha kuongeza hapa zaidi ya kuwaomba msiupuuzie huu ushauri

View attachment 1859291

Mkawe na week yenye mafanikio na baraka tele ndugu zangu
IMEKUWAJE HUYU MH. ANATOA MADINI WAKATI HUU? ALIKUWA WAPI.Bravo Mh. Mtaka
 
Siku hiz hata tutoto tuzuri kama mama D tunataka wastaafu unafikir wazee hawapend vitam (joke). Hyo ndo mirad mipya ya wastaafu
 
Back
Top Bottom