Waliosoma uyui s/m kuna msiba... Mwalimu wa zamani sana tangu mwaka 1966 afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosoma uyui s/m kuna msiba... Mwalimu wa zamani sana tangu mwaka 1966 afariki

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Malyenge, Jun 2, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,394
  Likes Received: 1,361
  Trophy Points: 280
  Wakuu napenda kutoa taarifa kwa waliosoma shule ya msingi Uyui iliyopo Manispaa ya Tabora karibu na kijiji cha Kalumwa au Kakulungu ama kakola kwamba mwalimu wa siku nyingi sana amefariki dunia.
  Mwalimu huyu anaitwa Mwalimu Kishiki. Aliwahi kufundisha shule hiyo ya msingi Uyui kuanzai mwaka 1975 mpaka mwaka 1984. Na baadaye alihamia mjini Tabora mpaka alipostaafu. Pialiwahi kuvuma sana miaka hiyo pamoja na waalimu wafuatao: malimu Mgongo, Mwalimu Udohya, Mwalimu Mzumbi, Mwalimu Chappa, Mwalimu Kamiliwe, Mwalimu Siyeru na wengineo.
  Tuungane na wafiwa katika msiba huu mzito.
   
Loading...