Waliosoma shule za Msingi miaka ya 1980 na kurudi nyuma mpaka 1961.Hizi ndo shule mlizo soma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosoma shule za Msingi miaka ya 1980 na kurudi nyuma mpaka 1961.Hizi ndo shule mlizo soma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NYENJENKURU, Oct 26, 2011.

 1. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ma Prof,Dk, Wachumi,Wahandisi,Mawaziri ,Makatibu wakuu n.k mnazikumbuka shule mlizo soma zinafananaje?Mlizosoma wengi wenu ziko hivi.

  4.JPG 5.JPG
   

  Attached Files:

 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi nilisoma shule ilikuwa full mpaka vioo kwenye madirisha hata za kata za siku hizi hazioni ndani.
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kaione leo hii tarehe 26/10/2011 ikoje?Je madrisha yapo?Utashangaa sana halafu ndo wanasema ni karne ya sayansi na teknolojia..tehh teh
   
 4. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,409
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Cha maana ni elimu aliyoipata mtu na anaitumiaje elimu hiyo kusaidia maendeleo ya nchi yetu.
   
 5. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  Hiyo uliyoiweka mbona ni nzuri sana. Ziko nyingine zimechoka kiukweli ... kama hii hapa:

  DSC01747a.jpg


  DSC01742a.jpg


  DSC01746a.jpg

  Hayo ndo mambo ya sayansi na teknolojia.
   
 6. s

  sanjo JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wala hujakosea. Kinachositisha ni kwamba miaka 30+ baadaye, maboresho katiba shule hizo kama yako ni kidogo mno.
   
 7. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MEM na MES ZOTE ZIMEFELI!
   
 8. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
 9. clemence

  clemence JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 595
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Siyo kweli, shule nyingi za wakati huo zilikuwa na majengo mazuri maeneo ya wazi kama vile viwanja vya michezo aina zote na vifaa vyote muhimu kwa ajili ya mwanafunzi.Hivyo hizo shule ulizobandika hapa ni za miaka hii hovyo kabisa!
   
 10. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwenye blue ndo zilivyo kwa sasa..Leta ya enzi hizo ambayo iko chini ya Halmashauri ya Wilaya bado ina madirisha na meza iliyokuwa inatumika miaka ya hata 1982 tuone ikoje.
   
 11. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bora Hizo za mwaka 47, kuliko za leo, angalia Startv kuna shule moja Iringa utachoka!
   
 12. m

  majogajo JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndg umemikumbausha mbali sana...enzi hizo huwezi kutofautisha kati ya mlango na dirisha...........pia tlikuwa tkikaa chini unatoka shule umechafuka na hauogi.kesho yake unaenda hivyohivyo
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu inaumwa kwa kweli. Shule niliyosoma kidogo wamerekebisha. Wamejitahidi walau kupiga rangi. Japo sijauliza ila lazma itakuwa ni msaada wala sio fungu kutoka serikalini.
   
 14. G

  GHANI JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huna lolote we pimbi, nenda kaoge.
   
 15. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ila mbona mmeweka shule za msingi elimu ya kitoto? Maana shule za msingi hawana huitaji mkubwa saaana na elimu ni daraja la kumuandaa tu mtoto na kumchangamsha,ila hivyo vyuo walivyosoma hemu viwekeni humu hayo majengo na miundombinu mingine ilivyo.
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  watu kama nyie huwa mna matatizo sana. Badala ya kutoa komenti, unatoa matusi. Anyway, nashukuru pia.
   
 17. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walio soma hizo shule hawawezi kuzikumbuka hata chembe kwani watoto wao ama wa ndugu zao hawana taimu nashule zile.Haya ni baadhi tu ya side effect za liberalization of education,tuliporuhusu elimu huria tulisahau kuwa hata shule za umma zilipasaswa kuboreshwa kuendana na wakati na technologia zilizopo,shule nyingi zimebaki za kuombea kura wakati wa kampeni("nitaweka madirisha na milango mkinichagua")
   
 18. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  chuo cha afya hicho ndoa maabara yake..Umeona eeeehhh.
  7.JPG
   
 19. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  kweli watanzania hatustahili kusheherekea miako 50 ya uhuru bali tunastaili kuweka kilio,yani sehemu ya mafunzo ya mahabara ni chafu halafu haina hadhi ya kuwa hata mahabara ya shule ya sekondari.
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Mbona nzuri tu?
   
Loading...