Waliosoma MBA au Masters ya Environmental (Sayansi au Engineering) naomba muongozo katika haya

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wakuu. Hebu naomba mtupe uzoefu wenu kwnye hizo kozi kuhusu:

1. Vyuo vinavyotoa hizo kozi
2. Gharama kwa chuo ulichosoma
3. Course duration.
4. Upatikanaji wa ajira na fursa za kujiajiri
5. Changamoto kuipata hiyo masters
6. Mshahara
7. Vipi ushawahi jutia kupiga hiyo masters? Je unahisi masters ipi ipo poa?

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu wa kijiwe.
 
Kwa programm yoyote ya Environment usisubutu kusoma
Since nchi yetu haijali kabisaaa issue za Environment management ila wao wanataka wapewe tu pesa za COP 26 kwa hiyo ww kasome MBA ili uwasubirie wakishapewa pesa zao za COP 26 uwachanganulie nn wafanyie izo pesa ....

Jana nilikiwa naangalia ziara ya PM.kule Ruvu chini na Ruvu juu, aliwauliza maswali pale DG wa Dawasa lkn mwisho wa siku jibu lao likikuwa ni climate change imepelekea kina cha mto kupungua kisha kuathiri uzalishaji maji

Akapelekwa field, akaonyeshwa shughuli za kibinadamu zinavyo athiri mto, ikiwemo ufugaji, kilimo n.k kisha PM akawageukia watu wa Basin offoce, nilicheka akawaambia nyie kazi yenu kukaa tu ofisi sasa nawataka mtoke.muende field mkazuie watu wote wanao tape majinya mto kupeleka ktk.mashamba yao ..... Lkn mwisho wa siku hii kazi ndio wangefanya sasa watu mazingira
 
Back
Top Bottom