Waliosoma MBA au Masters ya Environmental (Sayansi au Engineering) naomba muongozo katika haya

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
1,240
2,000
Habari wakuu. Hebu naomba mtupe uzoefu wenu kwnye hizo kozi kuhusu:

1. Vyuo vinavyotoa hizo kozi
2. Gharama kwa chuo ulichosoma
3. Course duration.
4. Upatikanaji wa ajira na fursa za kujiajiri
5. Changamoto kuipata hiyo masters
6. Mshahara
7. Vipi ushawahi jutia kupiga hiyo masters? Je unahisi masters ipi ipo poa?

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu wa kijiwe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom