Waliosoma foundation course ya open,wanaruhusiwa kutuma maombi kwenye vyuo vingne??

44mg44

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Messages
240
Points
250
44mg44

44mg44

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2019
240 250
Wadau kwa anaejua naomba anfahamishe,karibun sana
 
Mkwawa mnyalukoro

Mkwawa mnyalukoro

Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
97
Points
125
Mkwawa mnyalukoro

Mkwawa mnyalukoro

Member
Joined Oct 11, 2017
97 125
Dah hii changamoto aisee subiri waje wahusika
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,239
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,239 2,000
Kwani graduates wa Open anaweza kuajiriwa kwenye sekta binafsi?
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
wewe siyo mlengwa nakusihi tu ACHA kufuatilia maisha ya wenzako komaa na mambo yako hapa unatafuta umbeya ili ukamnange mwenzako aliyesoma hiyo kozi

Kwa tarifa yako ni hivi mtu aliyesoma open hiyo foundation kozi na akafauru anaruhusiwa kuomba chuo chochote kile Tanzania
 
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
143
Points
250
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined Mar 9, 2019
143 250
wewe siyo mlengwa nakusihi tu ACHA kufuatilia maisha ya wenzako komaa na mambo yako hapa unatafuta umbeya ili ukamnange mwenzako aliyesoma hiyo kozi
Kwa tarifa yako ni hivi mtu aliyesoma open hiyo foundation kozi na akafauru anaruhusiwa kuomba chuo chochote mile Tanzania
Umemjibu vizuri. Hata mimi nafahamu hivyo
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,684
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,684 2,000
wewe siyo mlengwa nakusihi tu ACHA kufuatilia maisha ya wenzako komaa na mambo yako hapa unatafuta umbeya ili ukamnange mwenzako aliyesoma hiyo kozi

Kwa tarifa yako ni hivi mtu aliyesoma open hiyo foundation kozi na akafauru anaruhusiwa kuomba chuo chochote mile Tanzania
TCU guide book ya form six leavers ukiipitia utaona ni OUT pekee walio orodhesha Foundation Program GPA ya 3 na juu zaidi kama kigezo cha kuomba kudahiliwa. Sijaona chuo chochote kingine kilichofanya hivyo.
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
TCU guide book ya form six leavers ukiipitia utaona ni OUT pekee walio orodhesha Foundation Program GPA ya 3 na juu zaidi kama kigezo cha kuomba kudahiliwa. Sijaona chuo chochote kingine kilichofanya hivyo.
Acha ubishi hiyo guide book ya mwaka gani watu wamemaliza hizo foundation course mwaka huu nawamefanya application vyuo tofauti tofauti kozi tofauti tofauti, ukiwa bado uelewi ngoja admission zitoke ndio ujue zaidi

Alafu wadogo zangu dunia ya sasa mambo hadharani ukiwa una wasi wasi tafuta mawasiliano ya OUT pigs sm or tuma email utapata majibu vizuri kabisa au ulizia TCU
 
Angalia the most recent TCU Guide book ya 2019/20 ya Form 6 leavers. Ili uwee kuitumia hiyo Foundation lazima Chuo chenyewe kime kimeiorodhesha kwenye program zake. Fikiria TCU wanasema GPA ya 3 kwa watu wa diploma lakini kuna vyuo kama UDSM kwa baadhi ya program zake wanataka GPA ya 3.5, sasa wewe utatumia ipi? Kusubiri admission zitoke itakuwa tumechelewa kama TCU inataka hiyo itumike na vyuo hawana budi kuweka neno ya kwamba itumike kwa vyuo vyote na ni wazi hawajafanya hivyo.
Hapa JF tunatumia Mkuu-unaofikiria ni wadogo zako wanaweza kuwa wakubwa kwako kiumri.
 
Gonya Gonya

Gonya Gonya

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
1,203
Points
2,000
Gonya Gonya

Gonya Gonya

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2015
1,203 2,000
TCU guide book ya form six leavers ukiipitia utaona ni OUT pekee walio orodhesha Foundation Program GPA ya 3 na juu zaidi kama kigezo cha kuomba kudahiliwa. Sijaona chuo chochote kingine kilichofanya hivyo.

Angalia the most recent TCU Guide book ya 2019/20 ya Form 6 leavers. Ili uwee kuitumia hiyo Foundation lazima Chuo chenyewe kime kimeiorodhesha kwenye program zake. Fikiria TCU wanasema GPA ya 3 kwa watu wa diploma lakini kuna vyuo kama UDSM kwa baadhi ya program zake wanataka GPA ya 3.5, sasa wewe utatumia ipi? Kusubiri admission zitoke itakuwa tumechelewa kama TCU inataka hiyo itumike na vyuo hawana budi kuweka neno ya kwamba itumike kwa vyuo vyote na ni wazi hawajafanya hivyo.
Hapa JF tunatumia Mkuu-unaofikiria ni wadogo zako wanaweza kuwa wakubwa kwako kiumri.
Mkuu Umemaliza kila kitu, nadhani bado hawajaelewa Kuhusu hii program,ndo maana wanakuja na maneno Kama "TUMETAPELIWA" kitu ambacho sio kweli
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
TCU guide book ya form six leavers ukiipitia utaona ni OUT pekee walio orodhesha Foundation Program GPA ya 3 na juu zaidi kama kigezo cha kuomba kudahiliwa. Sijaona chuo chochote kingine kilichofanya hivyo.

Angalia the most recent TCU Guide book ya 2019/20 ya Form 6 leavers. Ili uwee kuitumia hiyo Foundation lazima Chuo chenyewe kime kimeiorodhesha kwenye program zake. Fikiria TCU wanasema GPA ya 3 kwa watu wa diploma lakini kuna vyuo kama UDSM kwa baadhi ya program zake wanataka GPA ya 3.5, sasa wewe utatumia ipi? Kusubiri admission zitoke itakuwa tumechelewa kama TCU inataka hiyo itumike na vyuo hawana budi kuweka neno ya kwamba itumike kwa vyuo vyote na ni wazi hawajafanya hivyo.
Hapa JF tunatumia Mkuu-unaofikiria ni wadogo zako wanaweza kuwa wakubwa kwako kiumri.
Acha ubishi hizo course zamani zilikuwa zinatolewa na vyuo vingi ila serikali ikapiga marufuku mwaka Jana serikali ikaruhusu kozi hizo zitolewe na chuo kimoja tu cha open university kwa mda wa mwaka mmoja
 
mwanakijiji lugusi

mwanakijiji lugusi

Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
93
Points
125
mwanakijiji lugusi

mwanakijiji lugusi

Member
Joined Apr 13, 2016
93 125
Mpaka sasa Chuo cha takwimu dar Es salaam wanapokea foundation program waliohitimu open university cjui vyuo vingne
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,684
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,684 2,000
Acha ubishi hizo course zamani zilikuwa zinatolewa na vyuo vingi ila serikali ikapiga marufuku mwaka Jana serikali ikaruhusu kozi hizo zitolewe na chuo kimoja tu cha open university kwa mda wa mwaka mmoja
Ninachosema ni kuwa ingawa TCU wameweka Foundation kama sifa mojawapo ya kuomba udahili, ni Open University pekeyake wameiweka foundation kama sifa ndani ya TCU Admission Guide ya 2019/2020. Hivyo nje ya OUT huwezi kutumia Foundation kuomba chuo hadi hapo vyuo vitakapo ikubali. Sasa wewe sijui issue yako ni ipi na una ibase kwenye ushahidi gani?
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
369
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
369 250
Aisee hili swala naona lina ulizwa sana humu JF mara kwa mara, naomba niweka clear tena. Swala la wanaomaliza foundation Chuo Kikuu Huria ni kuwa wana uwezo wa kwenda kujiunga na chuo chochote cha umma hapa nchini na ndio chuo pekee pia ambacho kinatambuliwa na TCU kutoa course za foundation country wise. Na ukisoma ukapata ufaulu wa GPA ya 3.0 and above tayari umesha qualify for proceeding education future you're into, kwa wanaoshindwa kufikia pass marks elekezi wanapitia repetition phase or supplementary phase of exams. Sometimes pitia website na chuo online for more details www.out.ac.tz au fika Kinondoni Biafra HQ au centers zilizopo Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke), mikoa karibia yote Tanzania, Kenya, Rwanda (Kigali) na Namibia.
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
Ninachosema ni kuwa ingawa TCU wameweka Foundation kama sifa mojawapo ya kuomba udahili, ni Open University pekeyake wameiweka foundation kama sifa ndani ya TCU Admission Guide ya 2019/2020. Hivyo nje ya OUT huwezi kutumia Foundation kuomba chuo hadi hapo vyuo vitakapo ikubali. Sasa wewe sijui issue yako ni ipi na una ibase kwenye ushahidi gani?
Ushahidi upi unaitaji udahili kwa sasa ni direct vyuoni kwa wale wa bachelor, na foundation course inatambulika TCU wanaijua na ndio waliwapa mamlaka open university pekee waiendeshe hii kozi, kwaiyo hakuna chuo kitakachokataa maombi ambayo yapo supported na certificate ya foundation course

Ebu watumie email TCU waulize watakachokujibu kilete hapa
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
Aisee hili swala naona lina ulizwa sana humu JF mara kwa mara, naomba niweka clear tena. Swala la wanaomaliza foundation Chuo Kikuu Huria ni kuwa wana uwezo wa kwenda kujiunga na chuo chochote cha umma hapa nchini na ndio chuo pekee pia ambacho kinatambuliwa na TCU kutoa course za foundation country wise. Na ukisoma ukapata ufaulu wa GPA ya 3.0 and above tayari umesha qualify for proceeding education future you're into, kwa wanaoshindwa kufikia pass marks elekezi wanapitia repetition phase or supplementary phase of exams. Sometimes pitia website na chuo online for more details www.out.ac.tz au fika Kinondoni Biafra HQ au centers zilizopo Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke), mikoa karibia yote Tanzania, Kenya, Rwanda (Kigali) na Namibia.
Nashukuru kuna form six leaver umu tunamuelewesha mgumu kuelewa anabishana na wazee tilichukua boom elfu tano kwa siku😀😀😀
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,684
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,684 2,000
Aisee hili swala naona lina ulizwa sana humu JF mara kwa mara, naomba niweka clear tena. Swala la wanaomaliza foundation Chuo Kikuu Huria ni kuwa wana uwezo wa kwenda kujiunga na chuo chochote cha umma hapa nchini na ndio chuo pekee pia ambacho kinatambuliwa na TCU kutoa course za foundation country wise. Na ukisoma ukapata ufaulu wa GPA ya 3.0 and above tayari umesha qualify for proceeding education future you're into, kwa wanaoshindwa kufikia pass marks elekezi wanapitia repetition phase or supplementary phase of exams. Sometimes pitia website na chuo online for more details www.out.ac.tz au fika Kinondoni Biafra HQ au centers zilizopo Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke), mikoa karibia yote Tanzania, Kenya, Rwanda (Kigali) na Namibia.
Mkuu ukisoma kwenye website ya OUT unayosema ni kweli LAKINI ili foundation courses zitumike ni LAZIMA vyuo vi iorodheshe kwenye TCU guide book kwenye zile program ambazo watakubali Foundation. LAKINI kwa mwaka huu ni OUT pekee walio orodhesha hiyo kitu kwenye TCU Admission Guidebook (for form six leavers) ya 2019/2020. Itabidi OPEN waifanyie campaignhiyo Foundation ili vyuo vingine viiweke kwenye program zao. Binafsi napenda vyuo vingine viweke Foundation kupanua wigo wa udahili, lakini mpaka hapo watakapo iweka huwezi kuitumia kabla.
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,684
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,684 2,000
Ushahidi upi unaitaji udahili kwa sasa ni direct vyuoni kwa wale wa bachelor, na foundation course inatambulika TCU wanaijua na ndio waliwapa mamlaka open university pekee waiendeshe hii kozi, kwaiyo hakuna chuo kitakachokataa maombi ambayo yapo supported na certificate ya foundation course
Ebu watumie email TCU waulize watakachokujibu kilete hapa
Huwezi kudahili kwa sifa ambayo haija orodheshwa kwenye program yako. OUT watadahili kutumia Foundation na ndio maana kila program yao imeelekeza kuwa ukiwa na ufaulu wa GPA=3 ya Foundation ya OUT unaweza kuomba (TCU Admission Guide ya mwaka huu 2019/20 for F6 leavers) lakini hakuna chuo kingine kwenye hiyo Guide kilichoweka Foundation program. Ukweli huu haujalishi kuwa unaomba direct bila kupitia TCU. Bila maelekezo ya ziada toka TCU hilo haliwezekani sana sana tuombe OUT waloby kwa TCU ivikomalie vyuo vingine na mwakani vifanye kama OUT walivyofanya mwaka huu. Hapa nia yangu si kupinga kutumika kwa foundation ya OUT bali ni kueleza michakato ya kiserikali inavyokwenda.
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
Huwezi kudahili kwa sifa ambayo haija orodheshwa kwenye program yako. OUT watadahili kutumia Foundation na ndio maana kila program yao imeelekeza kuwa ukiwa na ufaulu wa GPA=3 ya Foundation ya OUT unaweza kuomba (TCU Admission Guide ya mwaka huu 2019/20 for F6 leavers) lakini hakuna chuo kingine kwenye hiyo Guide kilichoweka Foundation program. Ukweli huu haujalishi kuwa unaomba direct bila kupitia TCU. Bila maelekezo ya ziada toka TCU hilo haliwezekani sana sana tuombe OUT waloby kwa TCU ivikomalie vyuo vingine na mwakani vifanye kama OUT walivyofanya mwaka huu. Hapa nia yangu si kupinga kutumika kwa foundation ya OUT bali ni kueleza michakato ya kiserikali inavyokwenda.
Baki unavyoelewa tuache tunavyoelewa
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,277
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,277 2,000
Pengine nikuulize swali ili mwanafunzi adahiliwe kusoma elimu ya juu kuchukua bachelor kwa hapa Tanzania kwa sasa cutt off ipi TCU wanataka kwa mwanafunzi ambaye ni fresh from school?
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,684
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,684 2,000
Pengine nikuulize swali ili mwanafunzi adahiliwe kusoma elimu ya juu kuchukua bachelor kwa hapa Tanzania kwa sasa cutt off ipi TCU wanataka kwa mwanafunzi ambaye ni fresh from school?
TCU huweka viwango vya chini vya ufaulu ili uweze kuomba kiujumla na kila chuo huweka viwango vyake vya chini kwa kila program. Viwango vya chuo haviwezi kua chini ya vile vya TCU lakini vinaweza kuwa vya juu zaidi. Mfano mzuri ni UDSM kwa diploma to degree wanataka GPA ya 3.5 wakati TCU wameweka GPA ya 3. Hivi vyote huwa kwenye admission guide ya mwaka husika.
Cut off point actually haiwekwi na TCU bali kwa kila program capacity ya chuo huamua wanachukua wanafunzi wangapi na waki warank scores za yule wa chini ndio cut off point ya program hiyo kwa chuo hicho. Kwa mfano medicine MUHAS huwa na cut off point ya juu kushinda vyuo vingine.
Naamini ulichokuwa unauliza ni viwango vya chini ambavyo TCU imeweka ili mwanafunzi aweze kuomba udahili-hizi ndio zile 4 points from two subjects na kwa afya wana vyao. La msingi ni kusoma kwa umakini TCU Admission Guide for F6 leavers ya mwaka husika.
 
Forum statistics

Threads 1,326,598
Members 509,543
Posts 32,227,795
Top