Waliosoma fani za kilimo na mifugo na Jinsi walivyotumia elimu zao mpaka sasa kujikomboa binafsi na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo na mifugo

Hii picha inaipenda mkuu Ushimen inaelekea unaiangaliaga unasema hiiiiiiiiiiii

FB_IMG_1552110034710.jpg
 
Hii thread imenijengea picha mbaya sana kuhusu mikakati ya nchi.
 
Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.

Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rwegasira alikujibu nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NI MKULIMA.NILICHOANDIKA NDOHALI HALISI. HUKU VIJIJINI UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI SHAMBA LA WAKULIMA WADOGO KAMA MIMI NA LA AFISA UGANI. UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI YA KIJIJICHENYE BWANA SHAMBA NA AMBACHO HAKINA.

Kuna siku Spika wa Bunge akasema "nawazaga tu endapo siku moja wizara ya kilimo na wafanyakazi wake wote wakatolea hata kwa kipindi cha mwaka mmoja tu ivi kutakua na tofauti kweli kweny uzalishaji kweny nchi hiii"

Nilicheka sana, maana mimwenyew sioni umuhimu wa watu wakilimo hasa vijijin. Wa maofis makubwa nao wanachelewa kulipana per diem tu... wanajifanya utafiti tafiti zenyew miaka 10 hazileti matunda yoyote.
 
Back
Top Bottom