Waliosoma fani za kilimo na mifugo na Jinsi walivyotumia elimu zao mpaka sasa kujikomboa binafsi na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo na mifugo

spacecraft

Member
Dec 29, 2016
64
59
Habari wana JF,binafsi nimeanzisha uzi huu nikiwa kama mwanafunzi katika sekta ya mifugo ambaye muda si mrefu ntahitimu masomo yangu na kuingia katika mfumo wa kutafuta maisha.

LENGO: Ni kutaka kujua na kukutanisha pia wataalamu wote waliosoma sekta ya kilimo na mifugo na hatua walizopiga mpaka sasa wakitumia fani zao hizo kwa kujikomboa binafsi kiuchumi na kuleta mapinduzi katika sekta hii

MATARAJIO:Ni kupata changamoto,hamasa na ushuhuda ili usaidie kuleta ugunduzi mpya katika sekta hii na kuifanya iweze kuendelea zaid kama inavyojulikana kwamba ndo sekta mama katika ukombozi wa uchumi wa mtanzania wa kawaida kabisa.

ASANTENI,NA NATEGEMEA USHIRIKIANO WA KUTOSHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...
Wa kilimo tupo hapa
tapatalk_1547552950903.jpeg
 
Mie binafsi nimesoma Kilimo, BSc. Agriculture General.. hapo SUA, cha ajabu, nimebobea katika madini... nachimbisha dhahabu na sapphire, maisha yanasonga vizuri tu.

Huku kitaa kuna elimu zaidi ya chuoni... ukija jiandae hata kuwa hata mtendaji wa kata japo umesoma Kilimo .
 
Surely,
Mie nna Dip. in general agriculture but km ulivosema Mtaalam kilichopo huku na ulichokipata SUA lazima ushangae. Huku Extension ndo inafanya vzr kuliko Crop protection, soil science au ANOVA, huyo jamaa ajipange Kivyake asitegemee Government employment, vinginevyo atapewa kata ili awe K/WEO na utakoma usumbufu wa Kuwa Mtendaji kata/kjiji
 
Mie binafsi nimesoma Kilimo, BSc. Agriculture General.. hapo SUA, cha ajabu, nimebobea katika madini... nachimbisha dhahabu na sapphire, maisha yanasonga vizuri tu.

Huku kitaa kuna elimu zaidi ya chuoni... ukija jiandae hata kuwa hata mtendaji wa kata japo umesoma Kilimo .

Sent using Jamii Forums mobile app
tufahamiane kaka gemstone ndo mambo yangu mkali
 
Mie binafsi nimesoma Kilimo, BSc. Agriculture General.. hapo SUA, cha ajabu, nimebobea katika madini... nachimbisha dhahabu na sapphire, maisha yanasonga vizuri tu.

Huku kitaa kuna elimu zaidi ya chuoni... ukija jiandae hata kuwa hata mtendaji wa kata japo umesoma Kilimo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,asante pia kwa ndondoo ili tujiandae mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Surely,
Mie nna Dip. in general agriculture but km ulivosema Mtaalam kilichopo huku na ulichokipata SUA lazima ushangae. Huku Extension ndo inafanya vzr kuliko Crop protection, soil science au ANOVA, huyo jamaa ajipange Kivyake asitegemee Government employment, vinginevyo atapewa kata ili awe K/WEO na utakoma usumbufu wa Kuwa Mtendaji kata/kjiji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio mkuu naendelea kupata madin ya wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku shamba ni nguvu zako tu za kushika jembe la mkono,kuhusu vyeti/makaratasi ni huko shuleni tu.
 
Certificate of general agriculture, mwajiriwa duka la pembejeo, maisha ni changamoto kwa wenye fani hii hasa ukizingatia ajira za kuajiriwa hakuna. Miaka mitano sasa tangu nimalize chuo usihofu sana kijana mwenzangu just prepare well your plans and commit yourself to complete them!

Asante sana kijana mwenzagu kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata demonstration plots zinahitaji capital hata kulima nusu eka inahitaji capital pamoja na kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu yafaa tufikiri nje ya box
Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom