Waliositishiwa ajira na kisha kupigiwa simu na kuahidiwa kurejeshwa naomba mrejesho

mlagilamakawao

Senior Member
Feb 22, 2017
189
120
Samahanini wakuu..

Kuhusu wale waliokuwa wamesimamishwa kazi au walisaini tu mikataba ya kazi na kisha hawakuitwa tena kazini baada ya President kusitisha ajira mpya wiki liliopita kuna baadhi walipigiwa simu na kuahidiwa waende wakasaini na wataitwa kuanza kazi so kwa wale ambao wako upande wa afya waliajiriwa kufanya kazi kwenye hospitali tupeane updates kama umeshaitwa tayari au bado.
 
Watu wanarejea kazini. Inategemea na uwingi wa waajiriwa.
Sehemu ambazo walikuwa waajiriwa wachache wamesharipoti kazini, nimeshuhudia.
 
Samahani naomba kujua maana ya applicant no...INA tofauti na cheki namba??
Mbona mm yangu siijui??
Maana hata hr wangu nimesikia mahali akisema kuwa ameelekezwa awarudishe kwenye mfumo watumishi wote waliositishiwa ajira wakiwa na applicant number
 
hapo hata mm sijui maana watu wamejaza mikataba siku moja sema wizara tofauti sasa wengine wana applicant no, wengine hawana
 
Samahani naomba kujua maana ya applicant no...INA tofauti na cheki namba??
Mbona mm yangu siijui??
Maana hata hr wangu nimesikia mahali akisema kuwa ameelekezwa awarudishe kwenye mfumo watumishi wote waliositishiwa ajira wakiwa na applicant number
applicant number huwa inatoka kabla ya cheki namba......ukishakuwa approved cheki namba ndio huwa inatoka na ndio hapo unaanza kupokea mshahara
 
Back
Top Bottom