Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020.
Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019.
Kwa mafanikio yale makubwa katika historia ya upinzani, chama tawala kikadhani ndivyo watakavyofanikiwa kuumaliza upinzani uchaguzi mkuu, na hivyo kujisahau katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu.
Laiti kama Magufuli angejua upinzani anaoenda kukutana nao, nina imani angeahirisha uchaguzi na kuusogeza mbe le kwa kisingizio cha korona.
Mara, kwa mshangao mkubwa huku macho yakitoka kama Paramagamba, Upinzani mkali sana umeibuka ghafla kutoka vyama ambavyo ilidhaniwa vimekufa.
Mission failed!!