Waliosema upinzani utakufa 2020 mipango imefeli

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
275
802
Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020.

Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019.

Kwa mafanikio yale makubwa katika historia ya upinzani, chama tawala kikadhani ndivyo watakavyofanikiwa kuumaliza upinzani uchaguzi mkuu, na hivyo kujisahau katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Laiti kama Magufuli angejua upinzani anaoenda kukutana nao, nina imani angeahirisha uchaguzi na kuusogeza mbe le kwa kisingizio cha korona.

Mara, kwa mshangao mkubwa huku macho yakitoka kama Paramagamba, Upinzani mkali sana umeibuka ghafla kutoka vyama ambavyo ilidhaniwa vimekufa.

Mission failed!!
 
Mzunguko wa pili wa kampeni ndio umeanza na CCM wamekuja na style ya aina yake sijui kama itasaidia ikiwemo ya kuombwa wapinzani kusugua watu wazima.
IMG_20201001_031244.jpg

IMG_20201001_031952.jpg
IMG_20201001_031250.jpg
IMG-20200929-WA0009.jpg
IMG_20200925_130331.jpg
 
Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020.

Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019.

Kwa mafanikio yale makubwa katika historia ya upinzani, chama tawala kikadhani ndivyo watakavyofanikiwa kuumaliza upinzani uchaguzi mkuu, na hivyo kujisahau katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Laiti kama Magufuli angejua upinzani anaoenda kukutana nao, nina imani angeahirisha uchaguzi na kuusogeza mbe le kwa kisingizio cha korona.

Mara, kwa mshangao mkubwa huku macho yakitoka kama Paramagamba, Upinzani mkali sana umeibuka ghafla kutoka vyama ambavyo ilidhaniwa vimekufa.

Mission failed!!

Ngoja na mimi niongezee kidogo.

Tundu Lissu alisema tofauti na miaka mingine, uchaguzi huu wana "organisation", au kwa maana nyingine wamejipanga na wana mjumbe kila kata.

Lakini kitu kingine kikubwa ambacho hakukitaja ni kwamba wakati akiwa nje alijenga mahusiano mazuri na taasisi za mataifa ya magharibi. Nafikiri kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba isingekuwa mataifa hayo labda sasa hivi Lissu asingekuwa anashiriki uchaguzi, aidha angekuwa amedhurika au kafanyiwa hila na kuenguliwa kwenye uchaguzi. Lakini kama alivyosema mwenyewe, kikitokea chochote kati ya hivyo basi kutakuwa na madhara makubwa.
 
Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020.

Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019.

Kwa mafanikio yale makubwa katika historia ya upinzani, chama tawala kikadhani ndivyo watakavyofanikiwa kuumaliza upinzani uchaguzi mkuu, na hivyo kujisahau katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Laiti kama Magufuli angejua upinzani anaoenda kukutana nao, nina imani angeahirisha uchaguzi na kuusogeza mbe le kwa kisingizio cha korona.

Mara, kwa mshangao mkubwa huku macho yakitoka kama Paramagamba, Upinzani mkali sana umeibuka ghafla kutoka vyama ambavyo ilidhaniwa vimekufa.

Mission failed!!
Mkuu uko sahihi kabisa CCM ni kama hawakujiandaa inawezekana hawakutegemea Lissu atachukua fomu na walidhani miradi aliyofanya Magufuli ilikuwa hakuna haja ya kampeni.

Uchaguzi 2020 - Karata ya mwisho ya CCM ni kuahirisha uchaguzi na sio kuiba kura
 
1 Kampeni na Uchaguzi wa mwaka huu ni uchaguzi unaomulikwa na kutizamwa na Dunia nzima.

2. Upinzani umepata Mgombea kisawasawa asiyeyumbishwa wala kutikiswa mjenga hoja amejopanga na asiyekubali kuonewa wala kushindwa kirahisi.

3Lissu amejenga mahusiano makubwa sana na mashirika makubwa Duniani na nchi za Magharibi.

4. Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwepo shambulio la Lissu zaidi ya Risasi 30 Dodoma , kkburi na jeuri za jiwe.

5. CCM inamgombea mbabe mno kuwahi kuwa Rais wa Tanzania, Lakini upinzani umepata Mgombea mahiri mjenga hoja asiyekubali kushindwa nk nk.

6Jeuri ya jiwe imemponza.

Kwaheri jiwe
 
Walifika mbali hadi kuanza kupanga na chama chao kikuu cha upinzani kiwe NCCR.

Mungu kawachapa za usso!! Sasa hivi wanacheza mdumange wa Lissu.
 
Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020.

Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019.

Kwa mafanikio yale makubwa katika historia ya upinzani, chama tawala kikadhani ndivyo watakavyofanikiwa kuumaliza upinzani uchaguzi mkuu, na hivyo kujisahau katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Laiti kama Magufuli angejua upinzani anaoenda kukutana nao, nina imani angeahirisha uchaguzi na kuusogeza mbe le kwa kisingizio cha korona.

Mara, kwa mshangao mkubwa huku macho yakitoka kama Paramagamba, Upinzani mkali sana umeibuka ghafla kutoka vyama ambavyo ilidhaniwa vimekufa.

Mission failed!!
Sasa ndio wataona upinzani ule mkali kabisa.
 
kama upinzani ushakufa hayo matamasha na nn sasa?
Ayo matamasha yapo tangu kabla ya vyama vingi 1992, yaani kipindi cha mwinyi kura ya ndio na Hapana Capt John komba na bendi yake, Ottu jazz na bendi mbalimbali walikua wakihamasisha. Inawezekana ulikua hufahamu, au nyumbani kwenu hamkubaatika kuwa na redio.
 
Back
Top Bottom