Waliosema Simba ina jezi za Sudani makolokolo mengi leo wanaililia

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
vibe la simba linajulikana afrika nzima sasa matapeli fulani yamekaa sehemu miaka 3 yameona ni ujinga mtupu yakaenda kuingia MKATABA WA KIMANGUNGU na watu wazima wasiojiheshimu watu wazima ambao unaweza kutoa billions 3 kwa mwaka vi team vipewe milion 80 kwa mwaka ukaamuru kila mchezaji apigwe tattoo ya logo yako na wakakubali huku wakilazimisha clubs.

Matapeli hayo kupitia kwa lopolopo na wapuuzi wengine walidai jezi za simba zina manembo mengi mno kama za sudani wakaziita makolo fc LEO MAJITU HAYO YANALIA LOGO YAO IWEKWE BEGANI.

SASA HAIWEKWI SHUSHENI DARAJA HARAKA SANA NYAU NYIE....TUNAENDA RWANDA LIGI GANI TUMELIBEBA MABEGANI FOR FOUR YEARS UPUUZI MTU LIGI INAONEKANA KUBWA AFRIKA KUMBE NI ONE TEAM SHOW.
 
Back
Top Bottom